Burure
Member
- Jul 25, 2024
- 42
- 96
Je,hili sakata la kada wa ACT wazalendo (Mwenyekiti wa vijana) kukamatwa na kupatikana ndani ya siku moja inaweza kuwa ni njia ya kuwatoa ACT katika msimamo wao wa kutaka uchaguzi wa serikali za mitaa kurudiwa?
Katika sakati hili tumeona Mheshimiwa zitto kabwe akitoa taarifa mbalimbali kuhusu watekaji...swali langu ni je, vyama vya upinzani vina intelejensia ya maana ya kuweza kuwaepusha au kuzuia Makada wao kutekwa?
Soma Pia: Dar: Abdul Nondo amechukuliwa na Watu wasiojulikana katika mazingira ya utatanishi Kituo cha Mabasi cha Magufuli
Mwisho ila sio kwa muhimu ningependa kuwaasa vyama vya upinzani kuwawekea viongozi wao wa juu (bodyguards) walinzi wenye silaha pamoja na mafunzo ili linapotokea masuala kama haya waweze kupambana nao na isiwe rahisi kwa kiongozi kutekwa
Wako Mtiifu,
Katika ujenzi wa Taifa,
Burure.