U.pum.bavu!Unawezaje kuipenda ccm halafu unakuja kulalamika hapa eti haijakarabati Muhimbili!Si ni kwa sababu ya uzombi wako!kama hutibiwi nje ya nchi unaanzaje kuipenda CCM halafu unatangaza mbele ya wanaume?
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Hivi wewe ni mwanaume?? Mbona waongea kama kigori? Mapenzi ni utashi CCM inafanya mengi tu haya mengine kukumbushana!