Kukata GOGO!



Nitajitahidi mjomba!! Lakini mmh! zingne hapo mbona ngumu, watu wanazifanya kweli!! glass nane kwa siku..... etc, kwa muda gani.
 
kula ukwaju sahani mbili sio juice mumunya na juice ya pera ya azanu
 
Nitajitahidi mjomba!! Lakini mmh! zingne hapo mbona ngumu, watu wanazifanya kweli!! glass nane kwa siku..... etc, kwa muda gani.

DASA, glasi 8 ni chache. glasi 1 = 250 ml au robo lita. kwahiyo glasi 8 sawa sawa na lita 2 tu!, lager 1 ina ujazo wa 500 ml au nusu lita!, ukiambiwa upitie bar fulani kila siku kuna ofa yako ya lager 8 hautasema ni nyingi!, lager 8 ni sawa sawa na lita 4, najuwa wapo wanakunywa lager mpaka kumi na kuendelea kwa siku.

Tunasema unywe glasi 8 yaani lita 2 gawanya mara mara glasi 8 tofauti kwa siku siyo zote kwa pamoja, unaweza kunywa zaidi ya hapo lakini yasizidi lita 3.5 kwa siku. mwili wa binadamu unapopungukiwa maji, hutoa ishara (indicators), tumeziita ishara hizo kuwa ni MAGONJWA. Asilimia 94 ya damu yako ni maji, asilimia 85 ya ubongo wako ni maji, asilimia 75 ya wewe ni maji, you shouldn't have eaten!. Kila siku unatakiwa kunywa maji. tembelea Utangulizi | maajabu ya maji ujifunze zaidi kwanini maji ni uhai.
 

Yani ndio nimetoka kulikata sasahivi!! Loh!
 

Mkuu usijari utakuwa na selfcontener tumbon mwako
 
du,kumbe kuna ma-ndodi wengi sana humu?
 
Kwa kifupi unatatizo la kuganda kwa choo,
Tiba tafuta ukwaju kama kilo 1 weka kwenye maji lita 2 baada ya nusu saa anza kuukamua kwa mikono usitumie brenda utapata juice nzito weka asali kupunguza uchachu usiweke sukari kunywa kwa wingi uwezavyo baada ya nusu saa utakata gogo laini sana
Kinga; jitahidi kula chakula mapema kabla ya kulala
Kula matunda ya kutosha au juice za matunda natural siyo artificial
Kwa kuzingatia hayo hutapata tatizo hilo tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…