Kukata rufaa bodi ya mikopo

Kukata rufaa bodi ya mikopo

Haludzedzele

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2012
Posts
1,468
Reaction score
530
habarini wanajamvi! samahani naomba kujuzwa kama nafasi ya kukata rufaa bodi ya mikopo imetolewa maana hapa kichwa kimestak naona dalili zote za kutosoma kwa mdogo wangu na haya mambo ya not secured
mwenye taarifa pliz anijuze ni namna gani naweza appeal
 
Nafasi ya kukata rufaa ipo HESLB.Zoezi hufanyika mwezi mmoja baada ya kutoa pesa ya wanafunzi vyuoni,na hutolewa fomu maalumu unatakiwa kuijaza kwa gharama ya sh 5000
 
Back
Top Bottom