Haludzedzele
JF-Expert Member
- Nov 22, 2012
- 1,468
- 530
habarini wanajamvi! samahani naomba kujuzwa kama nafasi ya kukata rufaa bodi ya mikopo imetolewa maana hapa kichwa kimestak naona dalili zote za kutosoma kwa mdogo wangu na haya mambo ya not secured
mwenye taarifa pliz anijuze ni namna gani naweza appeal
mwenye taarifa pliz anijuze ni namna gani naweza appeal