Kukata rufaa kwenye mahakama ya juu

Kukata rufaa kwenye mahakama ya juu

meidimu sirkon

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2012
Posts
202
Reaction score
37
Kutokana hukumu mbalimbali ambazo imeamuliwa na mahakama ya mwanzo na baadae kukatiwa rufaa ambayo itampatia mrufani ushindi Itakuwaje kwa hakimu wa mahakama ya mwanzo alietoa hukumu?Sheria inamweka wapi Hakimu au Jaji anaetoa hukumu batili?
 
Just thinking loud,
Anawezakua alidanganywa kwenye utetezi
Alipewa chochote ili aweke maamuzi ya kuegemea upande
Uwezo wake wa kufikiria ulifika mwisho na ndio maamuzi aliyoyaona ni sahihi
Ama waliokwenye mahakama ya rufaa wanauwezo zaidi yake kupambanua mambo

Adhabu
Mojawapo ni kutokupandishwa cheo kwa sababu ya kua na maamuzi yenye utata

Mimi hayo ni mawazo yangu
 
Kuna Tume inaitwa Judicial Service Commitee (JSC) kazi yake ni kuratibu taratibu za mahakama na kusimamia utendaji wake incase jaji/hakimu anakua na maamuzi mengi ambayo ni tatanishi anaweza kuchunguzwa na tume hii kuangalia utendaji wake km unaathiriwa na rushwa au incapacity ( upeo mdgo) na ikithibitika hatua huchukuliwa lakini katika hali ya kawaida appeal ikipita hakuna makosa yoyote kwa jaji/hakimu aliyekosolewa kwenye maamuzi ya mwanzo ni utaratibu wa kawaida tu wa kuhakikisha haki imetendeka.. wakati mwingine hata hao waliomkosoa hakimu wa mwanzo na wenyewe hujikuta wakikosolewa katika appeal za juu au reviews
 
Back
Top Bottom