Kukata tiketi za SGR kumerahisishwa zaidi

Kama mmerahisisha ni Jambo jema. Nawapongeza Kwa hilo. Hii ni reli ya kisasa hivyo hata uendeshaji wake unatakiwa uwe wa kisasa.
 
Niliwahi kutaka kupanda hii treni. Nikakuta kukata tiketi inabidi nifungue akaunti.

Kwa watu kama sisi ambao safari siyo za mara kwa mara hatuoni ulazima wa kufungua akaunti.

Mngeboresha hapo, ukataji tiketi usizuiliwe kwa mkata tiketi kutokua na akaunti yenu
 
Ila hii nchi: Unaweza kikuta siti zimejaa kumbe kuna wadau wanashikiwa siti.
 
Ila hii nchi: Unaweza kikuta siti zimejaa kumbe kuna wadau wanashikiwa siti.
Ukifanyq booking unapewa 45 minutes kulipia zikipita basi siti inakuwa wazi. Watu wanashikaje hizo siti?
 
Ungetumia mtandao wa simu.
 
Huko serekaleni JF ni haramu, haya mwanetu imekuwaje tena humu
 
Sijawai kukwea ndege ya mawinguni hata hii inishinde, 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…