Kukata umeme siku mbili mfululizo kazi zitafanyika saa ngapi?

Kukata umeme siku mbili mfululizo kazi zitafanyika saa ngapi?

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
9,189
Reaction score
16,128
Mlikuwa mnakata kwa kuruka siku. Haikuwa mbaya sana. Sasa hii ya kukata siku mbili mfululizo kazi zitafanyika saa ngapi?
 
From_______ to________, sales of generators have increased by_______ % (This is a good trend !!!)
 
Kwani nyie mnaokatiwa ni maeneo gani huko mbona sisi huku upo kila siku.
 
Back
Top Bottom