Kukata umeme usiku huu inaashiria nini?

Kukata umeme usiku huu inaashiria nini?

Doto12

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2023
Posts
640
Reaction score
1,141
Ni usiku mwingi

Hakuna mvua hakuna upepo

Jamani wanasiasa unatutafuta nini?
 
Simu nchi hii ikikumbwa na vita japo hatuombei hivyo.

Tutachimba mahandaki timytakaa huko kama panya na nyoka. Tutakula mizizi na tutasubiri wenyewe watuambie tokeni.

Ameen
 
Ndio mwanya wa kupigia pesa huo, wanaandika kuna vifaa vimeharibika inabidi kuwe na matengenezo ya kujilipa mamilioni, kuaandika cheki za mchongo za kuagiza vifaa ambavyo tayari vipo stoo, n.k.
 
Sina la kusema zaidi ya CCM MBELE KWA MBELE.

images (1) (1).jpeg


PambanaZaidi/CottonandMore
 
Back
Top Bottom