Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Serikali ya SISEMU wamenatuona sisi wananchi wajinga na sasa wameanza kuvuka mipaka na kuwaona wanajeshi pia ni wajinga wa kuja na pengine hawana shukurani.
Kwa vile wao SISIEMU wana fedha nyingi sana mifukoni mwao wanaona kwamba Jeshi lipo kwa sababu wao SISIEMU wapo,
Na si kwamba SISIEMU ipo kwa sababu jeshi lipo na linawalinda.
Uzuri wa kuikumbatia rushwa na ufisadi ni kwamba unasahau hata watu muhimu na sehemu muhimu za kuzipa kipa umbele.
Nadhni zoezi la kukatia maji wanajeshi ni zoezi zuri tu, wanajaribu kuwaonyesha wao SISIEMU na JWTZ nani zaidi. Tena wasiishie hapo JWTZ tu nadhani ni vema waende hata ukonga nako wawakatie maji FFU ili tujue kwamba wamepania kwa dhati kukusaja madeni ya wadaiwa sugu bila kujali umuhimu wao.
Wamesha sahau kabisaa kwamba kuna wakati ilibidi Makepteni wa JWTZ wawatulize kwa mikopo ya Hyundai??
Kwa vile umuhimu wao unazidi kushuka kwa sababu SISIEMU sasa wana fedha hawawahitaji wanajeshi ni bora wawaonyeshe kwa kuwakatia maji???
Shuguli hiini pevu.
Kuna ishu mbili hapa.
- Serikali haioni umuhimu wa jeshi kuwa na maji na pia DAWASA/DAWASCO kuweza kujiendesha. Katika hili siku nikisikia Ikulu wamekatiwa maji kwa kutokulipa bili (au kutokufanya mawasiano kwa wakati muafaka), sitawaona watoa huduma ya maji ni wabaya, ila hapo wasiojua wajibu wao ni hao Ikulu. Kwa sasa naona jeshi (serikali?) haijui wajibu wake.
- Kuna ishu ya uelewa wa wanajeshi wetu kuhusu masuala mbalimbali (jeshi sio vita peke yake). Kwa mfano binadamu akigongwa na gari, itakua ni kitu cha ajabu sana gari likiadhibiwa badala ya dereva au mwingine aliyehusika na ajali hiyo. Wanajeshi wetu wana upungufu mkubwa sana wa uelewa wa taratibu na sheria ambazo ndizo zimeunda jeshi lenyewe!
DAWASA deserv salute for that, if they can't pay their bills then they don't diserv to have a service. That is the way to go.
Leo hii DAWASA wakitaka kwenda kusecure loan kutoka kwenye financial institution chakwanza watu wanakwenda kuangalia Balance Sheet yako, then wana fanya uses and source of fund analysis, imagine wewe banker unaona big number ya account receivable, lakini days za kulipa kwenye A/R payout ratio inaonyesha more than 12 month, you cant give them any loan. Then madhara yake ni kwamba they can't invest in big projects, they can't hire more people, they cant produce in efficenct way.
Good Job DAWASA
So, kama mdaiwa mkubwa ni serikali, DAWASA inatakiwa kukata maji pasipo kuangalia rangi wala sura.
They could have done it more diplomatically though, maana when you mess with those guys, you play with our National Security
kuna wakati yule mtu aliyegundua DNA aliwahi kusema maneno hapa watu wakamsakama kuwa ni mbaguzi,wakati mwingine mie naungana naye kabisa. Tumetumia Miliion 500 kwenye sherehe za miaka 46 ya uhuru eti kuyafanya maadhimisho hayo kuwa ya kihistoria,huu ni wenda wazimu. Halafu leo watu wanatunisha misuli kwanini tunakatiwa maji sisi watu wa taasisi nyeti? huu ni ukichaa mwingine,hakuna aliyejuu ya sheria,huduma inayotolewa lazima ilipiwe na kila mtu,ukisema mimi mjeshi lazima nilipiwe na sisi madaktari tukidai haki zetu tutafika wapi. Kila mtu atimize wajibu wake