KUKATIKA HOVYO KWA UMEME TANESCO WACHUNGUZWE NI UHUJUMU UCHUMI

Tunzo

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Posts
4,128
Reaction score
2,452
Sasa hivi kila mtu anajiamulia mambo, wanajiamulia mambo, yani ni kama nyumba haina baba yani nyumba haina kiongozi, serekali na hili shirika lake ijitafakari, haiwezekani kila siku umeme unakatwa, jana na leo maeneo kama Mwenge hakuna umeme,
Kipindi cha nyuma walikua wanatoa taarifa kwenye groups za Whatsapp ila siku hizi hawatoi taarifa wanakata wakiamua,
 
Attachments

  • Screenshot_20261016-111144.jpg
    Screenshot_20261016-111144.jpg
    143.1 KB · Views: 6
Sasa hivi kila mtu anajiamulia mambo, wanajiamulia mambo, yani ni kama nyumba haina baba yani nyumba haina kiongozi, serekali na hili shirika lake ijitafakari, haiwezekani kila siku umeme unakatwa, jana na leo maeneo kama Mwenge hakuna umeme,
Kipindi cha nyuma walikua wanatoa taarifa kwenye groups za Whatsapp ila siku hizi hawatoi taarifa wanakata wakiamua,
mama yenu si amezira! anadai hapendwi Tanganyika!
 
Sasa hivi ni mazoea tu
 
Mbona wanatoa taarifa mkuu kupitia sms walikua wakirekebisha miundombinu hasa Siku ya jana maeneo mengi sana mwenge goba rd yote nk
 
Back
Top Bottom