Kukatika kwa nywele

Kukatika kwa nywele

Tumia mafuta haya hakika hakuna unywele wako hata mmoja utakatika![emoji116]
 

Attachments

  • tapatalk_1475314704324.jpeg
    tapatalk_1475314704324.jpeg
    9.7 KB · Views: 140
Usipokata ncha nywele zinakuwa weak, nazikiwa weak outcome yake si nzuri.
Sio kweli.
Ncha haifanyi nywele kuwa weak.
Ncha hufanya nywele kufungana juu na kukatika wakati wa kuchana au unapojaribu kuziachanisha.
 
  • Thanks
Reactions: 5ty
Tumia mafuta haya hakika hakuna unywele wako hata mmoja utakatika![emoji116]

Nlimnunulia haya mdogo wangu nywele zake laini alafu curls yaani akipaka zinang'aa vizuri sana Na zinakua laini zaidi,me nliwahi kutumia kidogo ila yalinishinda napenda mafuta ya maji
 
Back
Top Bottom