Kukatika Kwa umeme bila back up system ni dalili ya kukosa vision. Ni hatari Kwa usalama wa Taifa

Kukatika Kwa umeme bila back up system ni dalili ya kukosa vision. Ni hatari Kwa usalama wa Taifa

Miji ilikuwa giza totoro, vijisola vichache vya barabarani kidogo vilisaidia kuleta mwanga njiani
 
CCM NI WAPUMBAVU SANA MKUU, LAKINI NITAKUJIBU KWA KIFUPI ANAEVUNJA UTULIVU/AMANI NI....

1. Anayeteka watanzania Wenzetu akina Soka, Polepole, Mdude, Chaula nk.

2. Anayepiga watu Risasi Akina TUNDU LISSU, SATIVA AKWILINA MAWAZO NK

3. Anayezuia haki ya Kikatiba ya Mikitano ya Vyama vya siasa.
(Kushiriki mikutano ya hadhara na Mikutano ya ndani.

4. Anayezuia Maandamano ambayo ni haki ya kikatiba ya Tanzania.

5. Anayezuia na Kupora Haki ya watanganyika ya kuchagua kiongozi wanaye mtaka.

6.Anayeficha Kila aina ya mikataba, Bandari, nk.

7. Anayekandamiza uhuru wa vyombo vya Habari

CCM WAMETUONA WATANGANYIKA NI MALOFA SANA


AMKENI WATANGANYIKA
 
Hakuna wala hakujawahi tokea nchi yenye back up system ya national grid.

Gridi ya taifa sio banda umiza kwamba utawasha jenereta tutazame mpira. Ni sawa na barabara zote zifunikwe na mafuriko alafu ulalamike eti kwanini hatuna back up ya barabara.

Labda useme specific kwamba hatukuwa na back up wapi. Maana mifumo muhimu yote huwa na power, maeneo muhimu kama hospitali za rufaa zina back up for emergency. Taja exactly wapi hakukuwa na back up, usiseme nchi.
 
Back
Top Bottom