JF Member JF-Expert Member Joined Dec 14, 2014 Posts 8,403 Reaction score 11,912 Dec 22, 2021 #1 Naomba kila Mtanzania apaze sauti kuhusu hiki kitendo cha kukatika kwa Umeme. TANESCO mnatuhujumu watanzania. Kazi haziendi kabisa.
Naomba kila Mtanzania apaze sauti kuhusu hiki kitendo cha kukatika kwa Umeme. TANESCO mnatuhujumu watanzania. Kazi haziendi kabisa.
wa kupuliza JF-Expert Member Joined Jun 15, 2012 Posts 15,209 Reaction score 37,871 Dec 22, 2021 #2 Hakuna shida yoyote Ile,mama Yuko anaponya nchi.
N Niza doyi JF-Expert Member Joined Dec 10, 2019 Posts 2,326 Reaction score 2,878 Dec 22, 2021 #3 Huku toka asubuhi waziri wa mchongo kafanya yake.
Robidinyo JF-Expert Member Joined Feb 20, 2016 Posts 4,101 Reaction score 8,868 Dec 22, 2021 #4 Hata huku kafanya yake,tunasafari ndefu sana Kiongozi wa Nchi hasikii malalamiko ya Wananchi wake yeye kazi kutetea Watendaji kazi wake
Hata huku kafanya yake,tunasafari ndefu sana Kiongozi wa Nchi hasikii malalamiko ya Wananchi wake yeye kazi kutetea Watendaji kazi wake
Capital G JF-Expert Member Joined Jul 2, 2017 Posts 3,445 Reaction score 5,367 Dec 22, 2021 #5 Huku toka saa 12 mpaka sasa hatuna umeme yaani. Noma sana
Kasomi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2014 Posts 11,027 Reaction score 20,414 Dec 22, 2021 #6 Hawa TANESCO inatakiwa watueleze
Isotonic JF-Expert Member Joined Jul 12, 2015 Posts 2,624 Reaction score 4,037 Dec 22, 2021 #7 hawa nao hawana utofauti na kichwa cha mwendawazimu, maana tuliambiwa mvua ila mvua imenyesha bado tu
hawa nao hawana utofauti na kichwa cha mwendawazimu, maana tuliambiwa mvua ila mvua imenyesha bado tu
Pisi kali JF-Expert Member Joined Dec 31, 2019 Posts 1,235 Reaction score 2,546 Dec 22, 2021 #8 Capital G said: Huku toka saa 12 mpaka sasa hatuna umeme yaani. Noma sana Click to expand... Wapi huko
Capital G said: Huku toka saa 12 mpaka sasa hatuna umeme yaani. Noma sana Click to expand... Wapi huko
MastaKiraka JF-Expert Member Joined Jan 10, 2015 Posts 6,763 Reaction score 22,998 Dec 22, 2021 #10 Wawekezaji wamezidi kumiminika. Nchi inafunguka kwa kasi
TANESCO Official Account Joined Jul 12, 2014 Posts 5,210 Reaction score 2,779 Dec 25, 2021 #11 MastaKiraka said: Wawekezaji wamezidi kumiminika. Nchi inafunguka kwa kasi Click to expand... Ndugu mpendwa Mteja wetu Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora. Jina Eneo Wilaya Namba ya simu Tatizo Toka lini Namba ya taarifa Ahsante sana TANESCO Huduma kwa Wateja SIMU : 0748550000
MastaKiraka said: Wawekezaji wamezidi kumiminika. Nchi inafunguka kwa kasi Click to expand... Ndugu mpendwa Mteja wetu Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora. Jina Eneo Wilaya Namba ya simu Tatizo Toka lini Namba ya taarifa Ahsante sana TANESCO Huduma kwa Wateja SIMU : 0748550000
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Dec 25, 2021 #12 Poleni sana...