Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,459
- 100,799
Acha ramliHabari nilizopata muda huu ni kwamba, Kikao hewa cha Makala kutangaza Majina feki ya wagombea feki kilikatizwa ghafla baada ya kutonywa kuwa :"Mkeka" aliokua anatakiwa KUSOMA ulikua sio wenyewe uliokuwa umeandaliwa....
Aliyeuza cheni feki kapewa pesa feki, Ngoma droo. haya majitu ni majizi proMax
Hahahahhaa huo ndio ukweliAcha ramli
Tunayafanyia duaMajina og yapo au hayapo?
Kwa nini hawatangazi?
kajiukuta anasoma majina tofautiMajina og yapo au hayapo?
Kwa nini hawatangazi?
Chichiemu kuchele😂😂😂Habari nilizopata muda huu ni kwamba, Kikao hewa cha Makala kutangaza Majina feki ya wagombea feki kilikatizwa ghafla baada ya kutonywa kuwa :"Mkeka" aliokua anatakiwa KUSOMA ulikua sio wenyewe uliokuwa umeandaliwa....
Aliyeuza cheni feki kapewa pesa feki, Ngoma droo. haya majitu ni majizi proMax
Subira yavuta kheriWaandishi wa habari wamekesha ukumbini wakisubiri MAKALA aendelee na kikao hadi sasa bila bila. Kikao kimeahirishwa hadi saa 4 asbh ya leo.
Wahuni wapo kazini 😂kajiukuta anasoma majina tofauti
Ilikuwaje majina feki yakamfikia comredi?Tunayafanyia dua