Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,459
- 100,799
- Thread starter
- #41
wameahirisha mara ya nne sasa hahahahahaa watauanaYanachezeana akili madubwasha hayo ya kijani, mnyukano wa vikundi vya kambi zao ndani ya chama chao unaendelea. Watateseka mpaka washike adabu waache kuisulubu chadema