GE2025 Kukatishwa ghafla kwa Mkutano wa CCM, Makala aliwekewe majina "feki"

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Acheni uzushi,kikao cha kamati kuu kilimalizika saa sita
 
CCM ni kama maji. Unaambiwa pale Makao Makuu ya No Reforms, No Election watu wamekesha wamekodolea tv! Ahahahahaha!!!
 
Hapo ndipo Kila mtu anapoipa shikamoo ccm, Wana mambo flani hv watoto wadogo kamwe hamuwezi kuelewa. Yaani kusema hv unavyosema ndivyo wenyewe walivyotaka 🤣🤣🤣🤣
 
Hata majina yatakayotangazwa leo,si ajabu kukawa na feki.
 
Acha kuchafua Chama wewee. CPA Makalla hajaitisha Press! Mnachezewa akili tu na J-Zee wa Mbagala kwa Mpalange
 

UHUNI kila PAHALA...#KATAA_WAHUNI.
 
Yanachezeana akili madubwasha hayo ya kijani, mnyukano wa vikundi vya kambi zao ndani ya chama chao unaendelea. Watateseka mpaka washike adabu waache kuisulubu chadema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…