GE2025 Kukatishwa ghafla kwa Mkutano wa CCM, Makala aliwekewe majina "feki"

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ipo hatari watu kuuana mwaka huu
 
Hapo ndipo Kila mtu anapoipa shikamoo ccm, Wana mambo flani hv watoto wadogo kamwe hamuwezi kuelewa. Yaani kusema hv unavyosema ndivyo wenyewe walivyotaka 🤣🤣🤣🤣
Hata fani ya uchekeshaji imekukataa!
 
Wahuni, wababaishaji, waongo, hovyo hovyo, wezi, mafisadi, makatili, watekaji, wauaji, wabinafsi, waroho.....
 
Nimeomba kazi ya uchekeshaji kwani mdau?!!!
EEeenHEEeeeh!
Sikujuwa kuwa kumbe unao uwezo wa aina hii!

Sasa kwa nini unahangaika na haya mengine mkuu, si jikite tu upande huo ili riziki yako iendelee vizuri zaidi mbele?

Haya mengine ya kutukana na makasiriko kila bandiko ni ya nini tena?

Kaza buti huku huku kwenye uchekeshaji; hata akina Samia hupenda kucheka mara moja moja wakishamaliza kuwafanyia uovu waTanzania!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…