Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kakatwa hospitali? Au kakatwa kwa waganga wa kienyejiDoctors msada wenu,mwanangu amekatwa kilimi leo siku ya tatu lakini bado analalamika maumivu ile hali mwenzie alie katwa siku moja yeye yuko vizuri.Ni dawa gani itamsaidia kumpa unafuu kama si kupona kabisa.Shukrani zenu
kilimi ndo nini?Doctors msada wenu,mwanangu amekatwa kilimi leo siku ya tatu lakini bado analalamika maumivu ile hali mwenzie alie katwa siku moja yeye yuko vizuri.Ni dawa gani itamsaidia kumpa unafuu kama si kupona kabisa.Shukrani zenu
Doctors msada wenu,mwanangu amekatwa kilimi leo siku ya tatu lakini bado analalamika maumivu ile hali mwenzie alie katwa siku moja yeye yuko vizuri.Ni dawa gani itamsaidia kumpa unafuu kama si kupona kabisa.Shukrani zenu