Kukatwa Misaada toka USAID kilio ni kikubwa!

Kukatwa Misaada toka USAID kilio ni kikubwa!

Tufanye kazi tusipende vya bure,kila mtu awajibike
 
Walimu acha waonje joto ya jiwe. Hii safari hakuna kanga wala kofia!

Karibu umaskini tubalance mambo
Shillingi inaporomoka kwa speed ya ndege.

Karibu kunakucha kila mtu arudi kwao.
 
Back
Top Bottom