rakeyescarl JF-Expert Member Joined Dec 9, 2007 Posts 481 Reaction score 147 May 5, 2011 #1 Salam wana JF, Naomba msaada wa wenu. Nina mzee wangu(75yrs) ana tatizo la mate kukauka,kwa hiyo anakunywa maji mengi ili mdomo usikauke. Je huu ni ugonjwa?Au kuna mwenye kujua tiba yake? Natanguliza shukurani. RE.
Salam wana JF, Naomba msaada wa wenu. Nina mzee wangu(75yrs) ana tatizo la mate kukauka,kwa hiyo anakunywa maji mengi ili mdomo usikauke. Je huu ni ugonjwa?Au kuna mwenye kujua tiba yake? Natanguliza shukurani. RE.
kichwat JF-Expert Member Joined Mar 4, 2010 Posts 1,819 Reaction score 588 May 5, 2011 #2 rakeyescarl said: Salam wana JF, Hiyo hutokea. Aendelee kunywa maji na vyakula vya majimaji kwa wingi hadi mwili utakapojiweka sawa. Click to expand...
rakeyescarl said: Salam wana JF, Hiyo hutokea. Aendelee kunywa maji na vyakula vya majimaji kwa wingi hadi mwili utakapojiweka sawa. Click to expand...