Umee
Umeeleza vyema ndugu,swali langu kwako. Je,uliomba gharama za uendeshaji kesi kwanzia mwanzo?
Ndugu, kisheria hizi zote zinaitwa gharama za kesi. Mara nyingine ni vizuri ku consult na mtaalamu wa sheria kabla hujafanya maamuzi ya kisheria, hii itakusaidia sana
Kukazia hukumu
First Prev2 of 2
Subscribe
•••
I
JF-Expert Member
Mkuu mimi nitakujibu kwa kadiri ninavyoelewa. Ni ivi, kesi inapokuwa katika stage ya kukazia hukumu mwenye jukumu wa gharama izo ni mdaiwa lakini hulipwi wewe badala yake ni dalali wa mahakama (court broker) kwasababu kwenye kukazia hukumu ni yeye ndo anatakiwa kushughulikia kila kitu na si wewe, kwaio anayegharamika ni yeye(sasa sijajua exactly ulikua unahitaji gharama zipi zaidi🤔?)
Gharama za kukazia hukumu mahakama ya mwanzo hazizidi Tsh 10,000/=. Sasa je, ndo gharama unayoipigania ama?
Nadhani ungeeleza wazi ni nani aliyekupa majibu haya (either hakimu, karani au dalali) ingekua rahisi zaidi concern yako kueleweka. Hata hivyo, kama nilivyosema mwanzo gharama za kukazia hukumu (kwamaana ya form) hazizidi elfu 10.
Kwanza unatakiwa kufahamu mahakama aiwezi mpa mtu kitu ambacho ajakiomba, na maombi ya gharama zote yanafanywa mwanzoni kabisa kabla kesi aijaanza sikilizwa (kiujumla zinaitwa gharama za kesi) na pia ni maamuzi ya mahakama (court discretion) kukupa au kutokukupa gharama izo.
Kena nani walikujibu? Na nahisi kuna kitu unachanganya, hukumu ni moja tu hapo, maamuzi ya kukazia hukumu ayawezi kutafsirika kama hukumu ya pili. Kwahiyo, nadhani kama nilivyokwisha eleza apo juu gharama unatakiwa uziombe kabla ya kesi kusikilizwa na hata kupewa ni discretion ya mahakama.
Ushauri wangu wa jumla, kama umesha pata madai yako, basi achana na izo gharama ndogo ndogo utaingia gharama nyingine ya kujipotezea muda.
Click to expand...
Chukulia mfano unamdai mtu 100,000 na mahakama ikaona ndio haki yako na hakimu katoa maamuzi kwamba pesa hizo zilipwe ndani ha siku 30.
Mdaiwa hajalipa siku zote 30 zikaisha unaamua kurudi mahakamani kuuliza kuhusu utaratibu, unaambiwa jaza fomu lipia 5,000 . Unatekeleza na mdaiwa kuitwa kuja kushinikizwa kulipa ..
Mdaiwa aseme "Sina uwezo wa kulipa 100,000 kwa mkupuo badala yake naweza kulipa kwa awamu tatu"!
Mimi mdai natumia nauli ya 6,000 kutoka kijijin kwenda mahakaman na kurudi home! Nikirudi mahakamani Mara 3 nakuwa nmetumia pesa takribani 20,000...
Pesa inayoniuma ni hii 20,000 ya nauli na 5,000 ya kulipia control namba ya fomu ya wito wa kukazia hukumu
Nikipiga hesabu haraka haraka najikuta nimepokea 75,000 tu badala ya 100,000 ambayo ndio haki yangu kwa sababu ya usumbufu uliosababishwa na mdaiwa wangu !
My take: Kama hukumu ilisomwa mbele ya wadaawa na wote kupatiwa nakala na mdaiwa hakukata rufaa (kwa mfano hawezi kulipa pesa hiyo kwa muda ulioolekezwa), kumbe tafsiri ni kuwa alikubali na alijua kuwa anatakiwa kujikita katika utekelezaji wa maagizo ya hukumu
Quote Reply
Report Edit Delete
Reactions:
Mlolongo and raraa reree
F
JF-Expert Member
Umeshapata pesa zako na fidia kidogo kama ulivyosema hayo mengine samehe tu mbona kama unaanza tamaa ndugu?
yupo sahihi. sio tamaa. tunaishi dunia ya ubepari. kisheria ana haki. sijui kwa sheria za hapo ukimani lakini kwa sheria za nilipo gharama za kesi zote zinalipwa na aliyeshindwa kesi.
Thanks Quote Reply
Report
Reactions:
You and raraa reree
M
JF-Expert Member
Salaam wakuu!
Wanajamvi nilifungua shauri la madai katika mahakama ya mwanzo dhidi ya bwana mmoja jirani yangu ambaye alionekana kuwa mgumu kunilipa pesa yangu niliyomkopesha mwaka juzi 2022!
Huyu bwana alitingwa na maisha akaja kwangu Kama jirani na rafiki yangu , akanieleza changamoto anazopitia Hadi kuomba nimkopeshe pesa na kuahidi kunilipa mwisho wa mwezi na atanilipa na fidia kiasi. Nilikubali ombi lake na kumpatia hicho kiasi cha pesa !
Mwisho wa mwezi ulipofika alishindwa kunilipa pesa yangu na kuniomba nimvumilie Hadi mwezi ujao na akaahidi kuongeza cha juu kwa muda unaoongezeka!
Huyu bwana hakuweza kunipa chochote takriban mwaka mzima na hatimaye mwezi wa 2 mwaka huu nkampeleka mahakamani ambako nilijua ntapata msaada wa kisheria jinsi ya kupata haki yangu. Kesi ikasikilizwa na mdaiwa akaamriwa kulipa pesa yangu yote na gharama ya usumbufu kidogo (hapa riba/fidia aliyoahidi mdaiwa aliikataa na mahakama ikakubaliana naye). Nikasema wache iende hivyo hivyo maneno yasiwe mengi.
Muda wa kulipa kadri ya maamuzi ya mahakama ukaisha bila mdaiwa kunipatia pesa yangu japo nusu. Nikarudi mahakamani kutoa taarifa na kuambiwa nijaze fomu kwa ajili ya kukazia hukumu. Nilijaza fomu na kulipia Kama kawaida na kupatiwa fomu ya wito ili niipeleke tena kwa mdaiwa mhukumiwa.
Tulirudi tena mahakamani kuulizana kwanini mdaiwa hajalipa deni lake Kama alivyoamriwa! Katika vuta nikuvute huyu bwana akadunduliza na kupata pesa yote kadri ya hukumu ilivyosema mwanzo.
Tatizo linaanzia hapa!
Je, pesa nilizotumia wakati wa kukazia hukumu ni juu ya nani? Nani anawajibika kulipia usumbufu wa Mara ya pili ikizingatiwa Kuna gharama zingine zimelipiwa mahamani na wote wanajua?
Nilipohoji nilijibiwa kuwa hilo ni jukumu langu mdai kulipia gharama zote wakati wa kukazia hukumu. Nikawauliza kuwa je, hamuoni Kama Mimi mdai naendelea kuumia kwan pesa yangu inazidi kupungua na mdaiwa anachekelea licha ya kukwamisha/kukaidi agizo la mahakama? Walinijjbu kuwa mdaiwa Hana cha kulipa zaidi ya pesa ya ailyoamriwa katika hukumu ya mwanzo tu! Tulitifuana Hadi nikaonekana mkorofi mahakamani!
Naomba mwongozo tafadhali
Click to expand...
Ndio maana sisi kule kiumeni MARA hasa ZAIDI TARIME tunamalizana kwa kufuata taratibu zetu.
Mahakamani upuuzi mwingi.
Ni bora azikwe hata kama sitalipwa fedha zangu,au nasema uongo ndugu zangu?
Kicheko Quote Reply
Report
Reactions:
You, raraa reree and From Meru
F
JF-Expert Member
kwa watu weusi hasa watz kwa sababu hawajastaarabika ama umsaidie tu kwa kumpa kiwango pungufu ya alichotaka umkopeshe au mwambie tu huna. shida haziui bali zinakomaza. unamuacha namna hiyo apambane na aliyemuumba.
Thanks Quote Reply
Report
Reactions:
You and raraa reree
[IMG alt="Mr mutuu"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/697/697170.jpg?1679853707[/IMG]
JF-Expert Member
yupo sahihi. sio tamaa. tunaishi dunia ya ubepari. kisheria ana haki. sijui kwa sheria za hapo ukimani lakini kwa sheria za nilipo gharama za kesi zote zinalipwa na aliyeshindwa kesi.
Karibu ukimani
Thanks Quote Reply
Report
Reactions:
raraa reree and From Meru
[IMG alt="Lax"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/661/661253.jpg?1644513989[/IMG]
JF-Expert Member
Mkuu mimi nitakujibu kwa kadiri ninavyoelewa. Ni ivi, kesi inapokuwa katika stage ya kukazia hukumu mwenye jukumu wa gharama izo ni mdaiwa lakini hulipwi wewe badala yake ni dalali wa mahakama (court broker) kwasababu kwenye kukazia hukumu ni yeye ndo anatakiwa kushughulikia kila kitu na si wewe, kwaio anayegharamika ni yeye(sasa sijajua exactly ulikua unahitaji gharama zipi zaidi🤔?)
Gharama za kukazia hukumu mahakama ya mwanzo hazizidi Tsh 10,000/=. Sasa je, ndo gharama unayoipigania ama?
Nadhani ungeeleza wazi ni nani aliyekupa majibu haya (either hakimu, karani au dalali) ingekua rahisi zaidi concern yako kueleweka. Hata hivyo, kama nilivyosema mwanzo gharama za kukazia hukumu (kwamaana ya form) hazizidi elfu 10.
Kwanza unatakiwa kufahamu mahakama aiwezi mpa mtu kitu ambacho ajakiomba, na maombi ya gharama zote yanafanywa mwanzoni kabisa kabla kesi aijaanza sikilizwa (kiujumla zinaitwa gharama za kesi) na pia ni maamuzi ya mahakama (court discretion) kukupa au kutokukupa gharama izo.
Kena nani walikujibu? Na nahisi kuna kitu unachanganya, hukumu ni moja tu hapo, maamuzi ya kukazia hukumu ayawezi kutafsirika kama hukumu ya pili. Kwahiyo, nadhani kama nilivyokwisha eleza apo juu gharama unatakiwa uziombe kabla ya kesi kusikilizwa na hata kupewa ni discretion ya mahakama.
Ushauri wangu wa jumla, kama umesha pata madai yako, basi achana na izo gharama ndogo ndogo utaingia gharama nyingine ya kujipotezea muda.
Click to expand...
Hizo gharama nyingi zipo kwenye makaratasi tu huko, sisi wananchi tunapokwenda kwa hao madalali wa mahakama tunakutana na vitu tofauti kabisa, mimi ningekua na uwezo ningeshauri hukumu inapotoka pia ieleze mchakato mzima wa kukazia hukumu na gharama zake na nani wa kuzilipia.
Thanks Quote Reply
Report
Reactions:
You and raraa reree
[IMG alt="ujoka"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/261/261591.jpg?1478554984[/IMG]
JF-Expert Member
Umeshapata pesa zako na fidia kidogo kama ulivyosema hayo mengine samehe tu mbona kama unaanza tamaa ndugu?
ego ni janga mkuu
Thanks Quote Reply
Report
Reactions:
raraa reree
F
JF-Expert Member
😆😆 nitarudi uzeeni kuzikwa
Thanks Quote Reply
Report
Reactions:
raraa reree
[IMG alt="Abdul S Naumanga"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/741/741455.jpg?1711630746[/IMG]
Member
Umee
Chukulia mfano unamdai mtu 100,000 na mahakama ikaona ndio haki yako na hakimu katoa maamuzi kwamba pesa hizo zilipwe ndani ha siku 30.
Mdaiwa hajalipa siku zote 30 zikaisha unaamua kurudi mahakamani kuuliza kuhusu utaratibu, unaambiwa jaza fomu lipia 5,000 . Unatekeleza na mdaiwa kuitwa kuja kushinikizwa kulipa ..
Mdaiwa aseme "Sina uwezo wa kulipa 100,000 kwa mkupuo badala yake naweza kulipa kwa awamu tatu"!
Mimi mdai natumia nauli ya 6,000 kutoka kijijin kwenda mahakaman na kurudi home! Nikirudi mahakamani Mara 3 nakuwa nmetumia pesa takribani 20,000...
Pesa inayoniuma ni hii 20,000 ya nauli na 5,000 ya kulipia control namba ya fomu ya wito wa kukazia hukumu
Nikipiga hesabu haraka haraka najikuta nimepokea 75,000 tu badala ya 100,000 ambayo ndio haki yangu kwa sababu ya usumbufu uliosababishwa na mdaiwa wangu !
My take: Kama hukumu ilisomwa mbele ya wadaawa na wote kupatiwa nakala na mdaiwa hakukata rufaa (kwa mfano hawezi kulipa pesa hiyo kwa muda ulioolekezwa), kumbe tafsiri ni kuwa alikubali na alijua kuwa anatakiwa kujikita katika utekelezaji wa maagizo ya hukumu
Click to expand...
Umeeleza vyema ndugu,swali langu kwako. Je,uliomba gharama za uendeshaji kesi kwanzia mwanzo?
Mimi mdai natumia nauli ya 6,000 kutoka kijijin kwenda mahakaman na kurudi home! Nikirudi mahakamani Mara 3 nakuwa nmetumia pesa takribani 20,000...
Pesa inayoniuma ni hii 20,000 ya nauli na 5,000 ya kulipia control namba ya fomu ya wito wa kukazia hukumu
Click to expand...
Ndugu, kisheria hizi zote zinaitwa gharama za kesi. Mara nyingine ni vizuri ku consult na mtaalamu wa sheria kabla hujafanya maamuzi ya kisheria, hii itakusaidia sana.
Thanks Quote Reply
Report
Reactions:
You and Mlolongo
[IMG alt="Abdul S Naumanga"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/741/741455.jpg?1711630746[/IMG]
Member
Hizo gharama nyingi zipo kwenye makaratasi tu huko, sisi wananchi tunapokwenda kwa hao madalali wa mahakama tunakutana na vitu tofauti kabisa, mimi ningekua na uwezo ningeshauri hukumu inapotoka pia ieleze mchakato mzima wa kukazia hukumu na gharama zake na nani wa kuzilipia.
Click to expand...
Unayosema ni kweli, na ndio maana ni muhimu kushauriana na mtaalamu wa sheria kabla ya kufanya maamuzi ya kisheria. Jukwaa kama hili linaweza kuwa zuri sana kwani linatoa fursa ya mtu kuweka concern yake na kusaidiwa na wataalamu wa maswala ya sheria bure kabisa.
Thanks Quote Reply
Report
Reactions:
You, Lax and Mlolongo
I
JF-Expert Member
Wakati napewa maelekezo ya kukazia hukumu na kujaza fomu ya wito, niliweka hoja mezani kwa makarani waliokuepo(kwa mdomo). Nikawaambia kuwa naona naendelea kutumia pesa zangu zingine katika kudai pesa ambayo tayari hukumu imeagiza
Nikaomba mahakama inilinde kwa maana ya kuelekeza gharama zinazojitokeza ziwe juu yake mdaiwa kwani yeye ndiye kasababisha! Wakanijbu kuwa mdaiwa Hana cha kulipa zaidi ya kile kile kiasi kilichoelezwa kwenye hukumu tu! Eti ni jukumu langu kushikiza madai hayo! Nikawaambia mbona pesa yangu inazidi kupungua?
Wakajibu kuwa hakuna jinsi ndio utaratibu huo.
Ila nahisi Kama mdaiwa aliongea na hakimu vizuri! Elewa hapo kwenye "kuongea vizuri"!