Kukazia hukumu

Chukulia mfano unamdai mtu 100,000 na mahakama ikaona ndio haki yako na hakimu katoa maamuzi kwamba pesa hizo zilipwe ndani ha siku 30.
Mdaiwa hajalipa siku zote 30 zikaisha unaamua kurudi mahakamani kuuliza kuhusu utaratibu, unaambiwa jaza fomu lipia 5,000 . Unatekeleza na mdaiwa kuitwa kuja kushinikizwa kulipa ..

Mdaiwa aseme "Sina uwezo wa kulipa 100,000 kwa mkupuo badala yake naweza kulipa kwa awamu tatu"!
Mimi mdai natumia nauli ya 6,000 kutoka kijijin kwenda mahakaman na kurudi home! Nikirudi mahakamani Mara 3 nakuwa nmetumia pesa takribani 20,000...
Pesa inayoniuma ni hii 20,000 ya nauli na 5,000 ya kulipia control namba ya fomu ya wito wa kukazia hukumu
Nikipiga hesabu haraka haraka najikuta nimepokea 75,000 tu badala ya 100,000 ambayo ndio haki yangu kwa sababu ya usumbufu uliosababishwa na mdaiwa wangu !

My take: Kama hukumu ilisomwa mbele ya wadaawa na wote kupatiwa nakala na mdaiwa hakukata rufaa (kwa mfano hawezi kulipa pesa hiyo kwa muda ulioolekezwa), kumbe tafsiri ni kuwa alikubali na alijua kuwa anatakiwa kujikita katika utekelezaji wa maagizo ya hukumu
 
Umeshapata pesa zako na fidia kidogo kama ulivyosema hayo mengine samehe tu mbona kama unaanza tamaa ndugu?
yupo sahihi. sio tamaa. tunaishi dunia ya ubepari. kisheria ana haki. sijui kwa sheria za hapo ukimani lakini kwa sheria za nilipo gharama za kesi zote zinalipwa na aliyeshindwa kesi.
 
Ndio maana sisi kule kiumeni MARA hasa ZAIDI TARIME tunamalizana kwa kufuata taratibu zetu.
Mahakamani upuuzi mwingi.
Ni bora azikwe hata kama sitalipwa fedha zangu,au nasema uongo ndugu zangu?
 
kwa watu weusi hasa watz kwa sababu hawajastaarabika ama umsaidie tu kwa kumpa kiwango pungufu ya alichotaka umkopeshe au mwambie tu huna. shida haziui bali zinakomaza. unamuacha namna hiyo apambane na aliyemuumba.
 
Hizo gharama nyingi zipo kwenye makaratasi tu huko, sisi wananchi tunapokwenda kwa hao madalali wa mahakama tunakutana na vitu tofauti kabisa, mimi ningekua na uwezo ningeshauri hukumu inapotoka pia ieleze mchakato mzima wa kukazia hukumu na gharama zake na nani wa kuzilipia.
 
Umee
Umeeleza vyema ndugu,swali langu kwako. Je,uliomba gharama za uendeshaji kesi kwanzia mwanzo?​
Ndugu, kisheria hizi zote zinaitwa gharama za kesi. Mara nyingine ni vizuri ku consult na mtaalamu wa sheria kabla hujafanya maamuzi ya kisheria, hii itakusaidia sana.​
 
Unayosema ni kweli, na ndio maana ni muhimu kushauriana na mtaalamu wa sheria kabla ya kufanya maamuzi ya kisheria. Jukwaa kama hili linaweza kuwa zuri sana kwani linatoa fursa ya mtu kuweka concern yake na kusaidiwa na wataalamu wa maswala ya sheria bure kabisa.​
 
Wakati napewa maelekezo ya kukazia hukumu na kujaza fomu ya wito, niliweka hoja mezani kwa makarani waliokuepo(kwa mdomo). Nikawaambia kuwa naona naendelea kutumia pesa zangu zingine katika kudai pesa ambayo tayari hukumu imeagiza
Nikaomba mahakama inilinde kwa maana ya kuelekeza gharama zinazojitokeza ziwe juu yake mdaiwa kwani yeye ndiye kasababisha! Wakanijbu kuwa mdaiwa Hana cha kulipa zaidi ya kile kile kiasi kilichoelezwa kwenye hukumu tu! Eti ni jukumu langu kushikiza madai hayo! Nikawaambia mbona pesa yangu inazidi kupungua?
Wakajibu kuwa hakuna jinsi ndio utaratibu huo.

Ila nahisi Kama mdaiwa aliongea na hakimu vizuri! Elewa hapo kwenye "kuongea vizuri"!
 
Kukazia hukumu​

First Prev2 of 2
Subscribe
•••
I

inyele

JF-Expert Member​

Chukulia mfano unamdai mtu 100,000 na mahakama ikaona ndio haki yako na hakimu katoa maamuzi kwamba pesa hizo zilipwe ndani ha siku 30.
Mdaiwa hajalipa siku zote 30 zikaisha unaamua kurudi mahakamani kuuliza kuhusu utaratibu, unaambiwa jaza fomu lipia 5,000 . Unatekeleza na mdaiwa kuitwa kuja kushinikizwa kulipa ..

Mdaiwa aseme "Sina uwezo wa kulipa 100,000 kwa mkupuo badala yake naweza kulipa kwa awamu tatu"!
Mimi mdai natumia nauli ya 6,000 kutoka kijijin kwenda mahakaman na kurudi home! Nikirudi mahakamani Mara 3 nakuwa nmetumia pesa takribani 20,000...
Pesa inayoniuma ni hii 20,000 ya nauli na 5,000 ya kulipia control namba ya fomu ya wito wa kukazia hukumu
Nikipiga hesabu haraka haraka najikuta nimepokea 75,000 tu badala ya 100,000 ambayo ndio haki yangu kwa sababu ya usumbufu uliosababishwa na mdaiwa wangu !

My take: Kama hukumu ilisomwa mbele ya wadaawa na wote kupatiwa nakala na mdaiwa hakukata rufaa (kwa mfano hawezi kulipa pesa hiyo kwa muda ulioolekezwa), kumbe tafsiri ni kuwa alikubali na alijua kuwa anatakiwa kujikita katika utekelezaji wa maagizo ya hukumu

Quote Reply
Report Edit Delete
Reactions:Mlolongo and raraa reree
F

From Meru

JF-Expert Member​

Umeshapata pesa zako na fidia kidogo kama ulivyosema hayo mengine samehe tu mbona kama unaanza tamaa ndugu?
yupo sahihi. sio tamaa. tunaishi dunia ya ubepari. kisheria ana haki. sijui kwa sheria za hapo ukimani lakini kwa sheria za nilipo gharama za kesi zote zinalipwa na aliyeshindwa kesi.

Thanks Quote Reply
Report
Reactions:You and raraa reree
M

Mnafiki Wa Kujitegemea

JF-Expert Member​

Ndio maana sisi kule kiumeni MARA hasa ZAIDI TARIME tunamalizana kwa kufuata taratibu zetu.
Mahakamani upuuzi mwingi.
Ni bora azikwe hata kama sitalipwa fedha zangu,au nasema uongo ndugu zangu?

Kicheko Quote Reply
Report
Reactions:You, raraa reree and From Meru
F

From Meru

JF-Expert Member​

kwa watu weusi hasa watz kwa sababu hawajastaarabika ama umsaidie tu kwa kumpa kiwango pungufu ya alichotaka umkopeshe au mwambie tu huna. shida haziui bali zinakomaza. unamuacha namna hiyo apambane na aliyemuumba.

Thanks Quote Reply
Report
Reactions:You and raraa reree
[IMG alt="Mr mutuu"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/697/697170.jpg?1679853707[/IMG]

Mr mutuu

JF-Expert Member​

yupo sahihi. sio tamaa. tunaishi dunia ya ubepari. kisheria ana haki. sijui kwa sheria za hapo ukimani lakini kwa sheria za nilipo gharama za kesi zote zinalipwa na aliyeshindwa kesi.
Karibu ukimani

Thanks Quote Reply
Report
Reactions:raraa reree and From Meru
[IMG alt="Lax"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/661/661253.jpg?1644513989[/IMG]

Lax

JF-Expert Member​

Hizo gharama nyingi zipo kwenye makaratasi tu huko, sisi wananchi tunapokwenda kwa hao madalali wa mahakama tunakutana na vitu tofauti kabisa, mimi ningekua na uwezo ningeshauri hukumu inapotoka pia ieleze mchakato mzima wa kukazia hukumu na gharama zake na nani wa kuzilipia.

Thanks Quote Reply
Report
Reactions:You and raraa reree
[IMG alt="ujoka"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/261/261591.jpg?1478554984[/IMG]

ujoka

JF-Expert Member​

Umeshapata pesa zako na fidia kidogo kama ulivyosema hayo mengine samehe tu mbona kama unaanza tamaa ndugu?
ego ni janga mkuu

Thanks Quote Reply
Report
Reactions:raraa reree
F

From Meru

JF-Expert Member​

Karibu ukimani
😆😆 nitarudi uzeeni kuzikwa

Thanks Quote Reply
Report
Reactions:raraa reree
[IMG alt="Abdul S Naumanga"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/741/741455.jpg?1711630746[/IMG]

Abdul S Naumanga

Member​

Umee
Umeeleza vyema ndugu,swali langu kwako. Je,uliomba gharama za uendeshaji kesi kwanzia mwanzo?
Ndugu, kisheria hizi zote zinaitwa gharama za kesi. Mara nyingine ni vizuri ku consult na mtaalamu wa sheria kabla hujafanya maamuzi ya kisheria, hii itakusaidia sana.

Thanks Quote Reply
Report
Reactions:You and Mlolongo
[IMG alt="Abdul S Naumanga"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/741/741455.jpg?1711630746[/IMG]

Abdul S Naumanga

Member​

Unayosema ni kweli, na ndio maana ni muhimu kushauriana na mtaalamu wa sheria kabla ya kufanya maamuzi ya kisheria. Jukwaa kama hili linaweza kuwa zuri sana kwani linatoa fursa ya mtu kuweka concern yake na kusaidiwa na wataalamu wa maswala ya sheria bure kabisa.

Thanks Quote Reply
Report
Reactions:You, Lax and Mlolongo
I

inyele

JF-Expert Member​

Wakati napewa maelekezo ya kukazia hukumu na kujaza fomu ya wito, niliweka hoja mezani kwa makarani waliokuepo(kwa mdomo). Nikawaambia kuwa naona naendelea kutumia pesa zangu zingine katika kudai pesa ambayo tayari hukumu imeagiza
Nikaomba mahakama inilinde kwa maana ya kuelekeza gharama zinazojitokeza ziwe juu yake mdaiwa kwani yeye ndiye kasababisha! Wakanijbu kuwa mdaiwa Hana cha kulipa zaidi ya kile kile kiasi kilichoelezwa kwenye hukumu tu! Eti ni jukumu langu kushikiza madai hayo! Nikawaambia mbona pesa yangu inazidi kupungua?
Wakajibu kuwa hakuna jinsi ndio utaratibu huo.

Ila nahisi Kama mdaiwa aliongea na hakimu vizuri! Elewa hapo kwenye "kuongea vizuri"!
 
Attachments

  • 1715545373158.gif
    42 bytes · Views: 3
  • 1715545373329.gif
    42 bytes · Views: 3
  • 1715545372982.gif
    42 bytes · Views: 3
  • 1715545373501.gif
    42 bytes · Views: 3
  • 1715545373664.gif
    42 bytes · Views: 1
  • 1715545373855.gif
    42 bytes · Views: 1
  • 1715545374224.gif
    42 bytes · Views: 2
  • 1715545374039.gif
    42 bytes · Views: 1
  • 1715545374428.gif
    42 bytes · Views: 1
  • 1715545374589.gif
    42 bytes · Views: 2
  • 1715545374758.gif
    42 bytes · Views: 2
  • 1715545374922.gif
    42 bytes · Views: 2
  • 1715545375082.gif
    42 bytes · Views: 2
  • 1715545375243.gif
    42 bytes · Views: 2
  • 1715545375410.gif
    42 bytes · Views: 1
  • 1715545375800.gif
    42 bytes · Views: 2
  • 1715545375982.gif
    42 bytes · Views: 2
  • 1715545375595.gif
    42 bytes · Views: 3
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…