Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
Kuna wakati inafika wanandoa hawaridhishani, hasa mke haridhishwi. Nazungumzia kwa wale wanandoa ambao mume umri umeenda na utendaji umedrop sana. Bao moja jogoo haamki tena! Utakuta mke bado anatamani ila hawezi kupata na mke mwenyewe bado analipa. Akitafuta mtu wa kumkuna kuna ubaya? Anahitaji nae kutosheka. Hii imekaaje. Hili Si suala dogo lakini
Ng'ombe huwa hazeeki maini, ohooo shauri yenu!
Kuna wakati inafika wanandoa hawaridhishani, hasa mke haridhishwi.
muulize huyo mkuu kiongozi!...anadhani ndoa ni huo upuuzi pekeeMkuu Kingi, maana ya ndoa unaifahamu vizuri kweli mkuu?
Sio upuuzi aisee! utakuwa unaenda kinyume cha maandiko kuwa " MSINYIMANE"muulize huyo mkuu kiongozi!...anadhani ndoa ni huo upuuzi pekee
muulize huyo mkuu kiongozi!...anadhani ndoa ni huo upuuzi pekee
Mkuu Kingi, maana ya ndoa unaifahamu vizuri kweli mkuu?
huyo kijana anazungumzia bao moja!...wakati kuna wakati hata hicho kidudu HAKITASIMAMA KABISAπππ.watoto wengine bwanaSio upuuzi aisee! utakuwa unaenda kinyume cha maandiko kuwa " MSINYIMANE"
Ila bado nakubaliana Love is not all about Sex!
Mhhhh! najihisi hata mimi ni mtoto.......huyo kijana anazungumzia bao moja!...wakati kuna wakati hata hicho kidudu HAKITASIMAMA KABISAπππ.watoto wengine bwana
Hapana wewe si mtoto. I can prove beyond reasonable doubt.......ππ!Mhhhh! najihisi hata mimi ni mtoto.......
Sore.
hapa umedanganya kuhusu umri. la maana katika uwezo ni afya kwa taarifa yako kuna wazee wanaleta balaa mpaka vijana wanaondoka. suala si kupishana umri suala ni namna gani afdya yako inaruhusu kucheza pachangaUnauliza pingu polisi. Mwanaume akishamzidi demu zaidi ya miaka nane jua hilo limo, inakuwa ngum sana kumridhisha. Huwa inabidi mwanaume 'amlee, kumsilkiliza' demu vya vya kutosha akidhani anamtuliza.. Anaishia kupelekeshwa kama gari bovu na mke anatulizwa na wajanja kama kawa.
watu wanadhani ndoa ni sex tu, kuna mambo kibao humo, kuna wakati mnaweza kufikia hata mwezi hamja sex, mambo mengii jamani.
Mkuu Kingi, maana ya ndoa unaifahamu vizuri kweli mkuu?
dawa ni kuchelewa kumwaga kama huwezi la pili... au tumia chinese herbs.. pia kuacha vibwengo na maudhi ya ndani ya nyumbaKuna wakati inafika wanandoa hawaridhishani, hasa mke haridhishwi.
Nazungumzia kwa wale wanandoa ambao mume umri umeenda na utendaji umedrop sana. Bao moja jogoo haamki tena! Utakuta mke bado anatamani ila hawezi kupata na mke mwenyewe bado analipa. Akitafuta mtu wa kumkuna kuna ubaya? Anahitaji nae kutosheka.
Hii imekaaje. Hili Si suala dogo lakini
Kuna wakati inafika wanandoa hawaridhishani, hasa mke haridhishwi.
Nazungumzia kwa wale wanandoa ambao mume umri umeenda na utendaji umedrop sana. Bao moja jogoo haamki tena! Utakuta mke bado anatamani ila hawezi kupata na mke mwenyewe bado analipa. Akitafuta mtu wa kumkuna kuna ubaya? Anahitaji nae kutosheka.
Hii imekaaje. Hili Si suala dogo lakini
PROVE BABA!lolHapana wewe si mtoto. I can prove beyond reasonable doubt.......ππ!