Kukidhi haja ya matamanio

Kukidhi haja ya matamanio

Raia Fulani

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2009
Posts
11,478
Reaction score
3,659
Kuna wakati inafika wanandoa hawaridhishani, hasa mke haridhishwi.

Nazungumzia kwa wale wanandoa ambao mume umri umeenda na utendaji umedrop sana. Bao moja jogoo haamki tena! Utakuta mke bado anatamani ila hawezi kupata na mke mwenyewe bado analipa. Akitafuta mtu wa kumkuna kuna ubaya? Anahitaji nae kutosheka.

Hii imekaaje. Hili Si suala dogo lakini
 
Kuna wakati inafika wanandoa hawaridhishani, hasa mke haridhishwi. Nazungumzia kwa wale wanandoa ambao mume umri umeenda na utendaji umedrop sana. Bao moja jogoo haamki tena! Utakuta mke bado anatamani ila hawezi kupata na mke mwenyewe bado analipa. Akitafuta mtu wa kumkuna kuna ubaya? Anahitaji nae kutosheka. Hii imekaaje. Hili Si suala dogo lakini

Unauliza pingu polisi. Mwanaume akishamzidi demu zaidi ya miaka nane jua hilo limo, inakuwa ngum sana kumridhisha. Huwa inabidi mwanaume 'amlee, kumsilkiliza' demu vya vya kutosha akidhani anamtuliza.. Anaishia kupelekeshwa kama gari bovu na mke anatulizwa na wajanja kama kawa.
 
Ng'ombe huwa hazeeki maini, ohooo shauri yenu!
 
Ng'ombe huwa hazeeki maini, ohooo shauri yenu!

Huo msemo umepitwa na wakati. Zaidi, ng'ombe anavyozeeka, maini yake yanapoteza au kupungua ufanisi wake wa kufanya kazi. Ohoo shauri yako.
 
Labda tuwasikie na wamama humu wanasemaje. Bila shaka huwa wanatafuta mbadala wa kuwaridhisha
 
muulize huyo mkuu kiongozi!...anadhani ndoa ni huo upuuzi pekee
Sio upuuzi aisee! utakuwa unaenda kinyume cha maandiko kuwa " MSINYIMANE"
Ila bado nakubaliana Love is not all about Sex!
 
Mkuu Kingi, maana ya ndoa unaifahamu vizuri kweli mkuu?

watu wanadhani ndoa ni sex tu, kuna mambo kibao humo, kuna wakati mnaweza kufikia hata mwezi hamja sex, mambo mengii jamani.
 
Sio upuuzi aisee! utakuwa unaenda kinyume cha maandiko kuwa " MSINYIMANE"
Ila bado nakubaliana Love is not all about Sex!
huyo kijana anazungumzia bao moja!...wakati kuna wakati hata hicho kidudu HAKITASIMAMA KABISA😀😀😀.watoto wengine bwana
 
Unauliza pingu polisi. Mwanaume akishamzidi demu zaidi ya miaka nane jua hilo limo, inakuwa ngum sana kumridhisha. Huwa inabidi mwanaume 'amlee, kumsilkiliza' demu vya vya kutosha akidhani anamtuliza.. Anaishia kupelekeshwa kama gari bovu na mke anatulizwa na wajanja kama kawa.
hapa umedanganya kuhusu umri. la maana katika uwezo ni afya kwa taarifa yako kuna wazee wanaleta balaa mpaka vijana wanaondoka. suala si kupishana umri suala ni namna gani afdya yako inaruhusu kucheza pachanga
 
watu wanadhani ndoa ni sex tu, kuna mambo kibao humo, kuna wakati mnaweza kufikia hata mwezi hamja sex, mambo mengii jamani.

The Following User Says Thank You to Nyamayao For This Useful Post:
[ame="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=16662"]JamiiForums |The Home of Great Thinkers - View Profile: Bigirita@@AMEPARAM@@View Profile: Bigirita</title>@@AMEPARAM@@Bigirita[/ame] (Today)
 
Mkuu Kingi, maana ya ndoa unaifahamu vizuri kweli mkuu?

mkuu nafaham japo sijaingia humo rasmi. Hamuoni ni falsafa za kibinadam tu kwamba ktk shida na raha... Sure kuna mambo inabidi mvumiliane kama maradhi, lakini hili nalo uvumilie tu?
 
Kuna wakati inafika wanandoa hawaridhishani, hasa mke haridhishwi.

Nazungumzia kwa wale wanandoa ambao mume umri umeenda na utendaji umedrop sana. Bao moja jogoo haamki tena! Utakuta mke bado anatamani ila hawezi kupata na mke mwenyewe bado analipa. Akitafuta mtu wa kumkuna kuna ubaya? Anahitaji nae kutosheka.

Hii imekaaje. Hili Si suala dogo lakini
dawa ni kuchelewa kumwaga kama huwezi la pili... au tumia chinese herbs.. pia kuacha vibwengo na maudhi ya ndani ya nyumba
 
Kuna wakati inafika wanandoa hawaridhishani, hasa mke haridhishwi.

Nazungumzia kwa wale wanandoa ambao mume umri umeenda na utendaji umedrop sana. Bao moja jogoo haamki tena! Utakuta mke bado anatamani ila hawezi kupata na mke mwenyewe bado analipa. Akitafuta mtu wa kumkuna kuna ubaya? Anahitaji nae kutosheka.

Hii imekaaje. Hili Si suala dogo lakini

Kingi umeshaoa? kama umeoa ndoa yako ina muda gani?
 
Unauliza kama hakuna ubaya kuzini!

Tema mate chini na kama wewe ndiye unamtuliza huyo mke kicheche jehanamu inakusubiri! kwanza tujue umeoa?
 
Back
Top Bottom