M Hacker
Member
- May 21, 2021
- 56
- 62
Daladala inakuja kituoni unakuta mzee anagombania mlango kuwahi siti alafu cha ajabu anashuka kituo cha 10. Kugombania siti kwa mzee kunawafanya wadharaulike na vijana ndo maana kijana akimuonq mzee kasimama hawezi kumpisha na Waleed wanatamani tuwapishe.
Baba mkwe nilimwona anagombania daladala si akapita dirishani 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Baba mkwe nilimwona anagombania daladala si akapita dirishani 🤣🤣🤣🤣🤣🤣