Hii kauli ya "Haujawahi kuishi Dar", maana yake hujawahi kuzoea shida.Huu nao Uzi,rubbish.haujawahi kuishi dar au
Za Mbagala na KimaraDaladala inakuja kituoni unakuta mzee anagombania mlango kuwahi siti alafu cha ajabu anashuka kituo cha 10. Kugombania siti kwa mzee kunawafanya wadharaulike na vijana ndo maana kijana akimuonq mzee kasimama hawezi kumpisha na Waleed wanatamani tuwapishe.
Baba mkwe nilimwona anagombania daladala si akapita dirishani 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Tena iwe kwenye ile gari yenye ac ndo anajiona amemaliza kila kitu,,,sema usafiri wa dar muda mwingine ni miyeyusho sanaHv ndo huko Daslamu mtu akipata seat kwenye mwendokasi anajiona ameyapatia maisha eee