Kukimbiza kuku wa kienyeji?

Kukimbiza kuku wa kienyeji?

Hili swali limekuwa likinitatiza sana.. kwanini kuna raha ya aina fulani kufukuza kuku wa kienyeji kabla ya kumfanya kitoweo?
kwa sababu mbilinge yake kumpata ndiyo inamnogesha sana akishaandaliwa mezani.
 
Hili swali limekuwa likinitatiza sana.. kwanini kuna raha ya aina fulani kufukuza kuku wa kienyeji kabla ya kumfanya kitoweo?
Hiyo ishu imekaa kifalsafa zaidi-ila hamna tatizo acha kila mtu aichambue kulingana na uelewa wake.Nakupongeza mkuu kwa hii nyuzi ni changamoto hapa jukwaani.
 
...he!he!he! ngoja aje Masa boy, kama hujaomba msaada tutani.......!

Masa namudu mwenye siku hizi wala siombi msaada tutani tena!!!! (labda baada ya kwaresma sijui...)
 
Hili swali limekuwa likinitatiza sana.. kwanini kuna raha ya aina fulani kufukuza kuku wa kienyeji kabla ya kumfanya kitoweo?

...Shida ya nini? Jua likishakuchwa utamuona huyoo anarudi bandani, tena na kichwa kakilegeza!
 
Kwanza wakati akimbiapo,unamuona kwa nyuma anavyochezesha mkia wake,alafu chenga atakazo kuwa anakupiga zitafanya ufurahi maana wakati mwingine chenga hizo ni ndogo sana kiasi kwamba ungeweza kumksmata,lkn ukishamkamata si unajua hana tena nguvu ya kukimbia?nadhani unajua kitakacho fuata kitoweo tu then baada ya kula unalala chali kwa uchovu wa kushiba!

Nimelipenda jibu lako.
 
Back
Top Bottom