Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
PumbavuYaani jamaa wewe daaah. Mwenge ni kitu muhimu sana katika taifa na uchumim so ni b3 tu ndio zinapotea au sio.
Basi leo nikueleze, na uendelee au uanze kuhudhuria kama unajiona una uhuru au ww maskini katika nchi yako. Na usilete mifano ya wengine nasema wewe.
Mwenge unachochea Maendeleo ya Miradi ya Kijamii na Kiuchumi, unapopita katika mikoa mbalimbali, unazindua, ukagua na kuweka jiwe la msingi kwenye miradi mbalimbali ya maendeleo kama vile shule, zahanati, barabara, miradi ya maji, na nishati. Hii huongeza uwajibikaji na kasi ya utekelezaji wa miradi, Kuimarisha Umoja na Mshikamano, Mwenge huunganisha Watanzania kutoka sehemu mbalimbali bila kujali dini, kabila au rangi. Huu ni mfano wa kusherehekea umoja na amani ya kitaifa.
Elimu pia, Wakati wa mbio za mwenge, ujumbe mbalimbali wa kitaifa hutolewa kuhusu masuala ya afya (kama UKIMWI, malaria), mazingira, rushwa, na uzalishaji wa ndani. Hii huongeza uelewa kwa jamii.
La mwisho Kuhamasisha Vijana Vijana ndio wakimbiza mwenge na wanapata fursa ya kujifunza uongozi, uzalendo, na uwajibikaji, jambo ambalo huandaa kizazi kipya cha viongozi wa baadaye.
Sasa waone watu wapuuzi wanakimbizi mwenge. Wakina asas humo ndio wanatafuta tender. Sasa wewe hisi tenda za kuuza maziwa.
Ni wapi kwenye ripoti ya CAG kautaja mwenge?Katika repoti ya CAG itakayowasilishwa bungeni kwenye hili bunge kuna kitu alikigusia wakati anawasilisha repoti hiyo kwa Rais kuhusu serikali kugharamia vitu ambavyo CAG alivisema havina tija kwa serikali na taifa kwa ujumla.
Kama nimekusoma vizuri, hukatai mwenge huo kuwepo.Hiyo miradi inayofunguliwa na Mwenge siingefunguliwa na viongozi wengine kikawaida kama ma DC,wabunge, RC, VP.
Unaposema "zinawezafika" ina maana huna uhakika.Hizo gharama zinazotumika kukimbiza tu Mwenge zinawezafika 20 to 30 Milion kila wilaya na Tanzania kuna Takribani wilaya 180 x 20,000,000 =3,600,000,000 hapo hujaweka gharama za kitaifa za kuwasha na kuzima mwenge karibia bilion 3 kuzima 3 kuwasha.
Huu Mwenge kila Mwaka unatafuna bilion 10 kwangu naona nazo zifanywe hazina tija
☝🏿 porojo zote ulitaka tu kuweka dukuduku zako, kudhihaki na kuwatusi Watanzania.Leo hawa wajinga na limwenge wao wametupotezea muda na limwenge lao wametoka nalo Airport. Tulikuwa tunapita kule
Hivi linapandishwaga Ndege hili litakataka
Sikiliza ndugu huo mwenge ni ujinga sana nishakuwa na experience nao.Yaani jamaa wewe daaah. Mwenge ni kitu muhimu sana katika taifa na uchumim so ni b3 tu ndio zinapotea au sio.
Basi leo nikueleze, na uendelee au uanze kuhudhuria kama unajiona una uhuru au ww maskini katika nchi yako. Na usilete mifano ya wengine nasema wewe.
Mwenge unachochea Maendeleo ya Miradi ya Kijamii na Kiuchumi, unapopita katika mikoa mbalimbali, unazindua, ukagua na kuweka jiwe la msingi kwenye miradi mbalimbali ya maendeleo kama vile shule, zahanati, barabara, miradi ya maji, na nishati. Hii huongeza uwajibikaji na kasi ya utekelezaji wa miradi, Kuimarisha Umoja na Mshikamano, Mwenge huunganisha Watanzania kutoka sehemu mbalimbali bila kujali dini, kabila au rangi. Huu ni mfano wa kusherehekea umoja na amani ya kitaifa.
Elimu pia, Wakati wa mbio za mwenge, ujumbe mbalimbali wa kitaifa hutolewa kuhusu masuala ya afya (kama UKIMWI, malaria), mazingira, rushwa, na uzalishaji wa ndani. Hii huongeza uelewa kwa jamii.
La mwisho Kuhamasisha Vijana Vijana ndio wakimbiza mwenge na wanapata fursa ya kujifunza uongozi, uzalendo, na uwajibikaji, jambo ambalo huandaa kizazi kipya cha viongozi wa baadaye.
Sasa waone watu wapuuzi wanakimbizi mwenge. Wakina asas humo ndio wanatafuta tender. Sasa wewe hisi tenda za kuuza maziwa.
Wewe ni mjinga flani usiejielewNi wapi kwenye ripoti ya CAG kautaja mwenge?
CAG hawezi akaongelea vitu juu juu kama ulivyowasilisha hoja yako.
Kama nimekusoma vizuri, hukatai mwenge huo kuwepo.
Unaposema "zinawezafika" ina maana huna uhakika.
Sasa kama huna hata uhakika wa hata kiasi gani cha fedha zinazotumika kuuzungusha mwenge nchini, una uhakika gani CAG "alivyogusia" "kuvisema" vitu visivyo na tija alikuwa akimaanisha Kukimbiza mwenge?
Umeunga unga mambo ya CAG ili upate authority??🤯😌🐼🐒
☝🏿 porojo zote ulitaka tu kuweka dukuduku zako, kudhihaki na kuwatusi Watanzania.
Mwenge ulikuwepo, Upo na utaendelea kuwepo.
Kazi ipo kuondoa ujinga wa wananchi wenzetu. 10 Billion za mwenge kwenda kufungua madaraja yaliyojengwa na wananchi 😂Mwenge unalinda uhuru Gani kweli jitu jeusi ni nyani🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Jitu jeusi ni nyan na hii imesababishwa na mijitu kama hii kuwa mijinga 100%Kazi ipo kuondoa ujinga wa wananchi wenzetu. 10 Billion za mwenge kwenda kufungua madaraja yaliyojengwa na wananchi 😂
Hajui huo Ule mwenge humulika vitu vingi hadi CAG mwenyeweHuelewi gharama za kupata uhuru.
Hujui gharama za kuulinda uhuru
utakatwa kinyeoIpo siku nitakuja kuuiba ule mwenge niuweke ghetto unimulike mimi na mipaka yangu!
shenzi kwelikweliYaani jamaa wewe daaah. Mwenge ni kitu muhimu sana katika taifa na uchumim so ni b3 tu ndio zinapotea au sio.
Basi leo nikueleze, na uendelee au uanze kuhudhuria kama unajiona una uhuru au ww maskini katika nchi yako. Na usilete mifano ya wengine nasema wewe.
Mwenge unachochea Maendeleo ya Miradi ya Kijamii na Kiuchumi, unapopita katika mikoa mbalimbali, unazindua, ukagua na kuweka jiwe la msingi kwenye miradi mbalimbali ya maendeleo kama vile shule, zahanati, barabara, miradi ya maji, na nishati. Hii huongeza uwajibikaji na kasi ya utekelezaji wa miradi, Kuimarisha Umoja na Mshikamano, Mwenge huunganisha Watanzania kutoka sehemu mbalimbali bila kujali dini, kabila au rangi. Huu ni mfano wa kusherehekea umoja na amani ya kitaifa.
Elimu pia, Wakati wa mbio za mwenge, ujumbe mbalimbali wa kitaifa hutolewa kuhusu masuala ya afya (kama UKIMWI, malaria), mazingira, rushwa, na uzalishaji wa ndani. Hii huongeza uelewa kwa jamii.
La mwisho Kuhamasisha Vijana Vijana ndio wakimbiza mwenge na wanapata fursa ya kujifunza uongozi, uzalendo, na uwajibikaji, jambo ambalo huandaa kizazi kipya cha viongozi wa baadaye.
Sasa waone watu wapuuzi wanakimbizi mwenge. Wakina asas humo ndio wanatafuta tender. Sasa wewe hisi tenda za kuuza maziwa.
😸😸😸😸😸Katika repoti ya CAG itakayowasilishwa bungeni kwenye hili bunge kuna kitu alikigusia wakati anawasilisha repoti hiyo kwa Rais kuhusu serikali kugharamia vitu ambavyo CAG alivisema havina tija kwa serikali na taifa kwa ujumla.
Hiyo miradi inayofunguliwa na Mwenge siingefunguliwa na viongozi wengine kikawaida kama ma DC,wabunge, RC, VP.
Hizo gharama zinazotumika kukimbiza tu Mwenge zinawezafika 20 to 30 Milion kila wilaya na Tanzania kuna Takribani wilaya 180 x 20,000,000 =3,600,000,000 hapo hujaweka gharama za kitaifa za kuwasha na kuzima mwenge karibia bilion 3 kuzima 3 kuwasha.
Huu Mwenge kila Mwaka unatafuna bilion 10 kwangu naona nazo zifanywe hazina tija
Leo hawa wajinga na limwenge wao wametupotezea muda na limwenge lao wametoka nalo Airport. Tulikuwa tunapita kule
Hivi linapandishwaga Ndege hili litakataka
Labda unamulika makalio YakoHajui huo Ule mwenge humulika vitu vingi hadi CAG mwenyewe
Bora hata ingekuwa tochi. Kile ni kibatari ambacho hata kikipigwa upepo kinazimikaK
Kwamba mwenge ndio inalinda uhuru, mwenge unaakisi vipi gharama za kupata uhuru?
Ni matumizi mabovu ya pesa, huwezi teketeza zaidi ya bilioni 10 kwa tochi lisilo na faida yoyote, bilioni 10 inaweza rekebisha mambo mengi mnoooo
Pumbavu mama yako qma wewePumbavu
Muongo. Watanzania hamkosi storySikiliza ndugu huo mwenge ni ujinga sana nishakuwa na experience nao.
Nishapangiwa kazi ofisi ya dc kukaimu nafasi ya udas kwani das alikwenda kupiga shule masters mimi kituo changu kikiwa mkoani kama hro
Sasa nina experience na huo upumbavu nishakusanya sana hela za mwenge kutoka kwa watendaji .
Nikiwa kama mwenyekiti wa kamati ya fedha ya wilaya ya mwenge.
Mara 2 andaa sana vikao vya kamati ya Mwenge wilaya na mkoa kagua ruti ya mwenge.
Dc anaondoka kwenye mkesha usiku anakwambia wewe baki narudi ngoja nikaoge
Na mimi nilikuwa naondoka namwambia afisa tarafa abaki yaani uzunguke na mwenge mchana kutwa usiku ukeshe nao
Yule das alivyorudi na mimi nikaenda zangu shule na kuachana na kazi ofisi ya rc
Kwa hiyo we Acha tu
Mwenge ni upumbavu niliouexperience first hand labda kulipo hata wewe unayesifia huo ujinga
***** we unashughulikiwa huko nyuma na wanaccm wenzio sio burePumbavu mama yako qma wewe
Kweli watu hujiita majina na kusadifu wanayoyaandika ..uhuru unakusaidia nini kama ni maskin wa kutupwa..na viongozi wako ni mafisadiUsingekuwa huru ungepost hapa?
DC anakuachia wewe anaenda kuoga na wewe unampasia afisa Tarafa 🤣🤣😂 daaahSikiliza ndugu huo mwenge ni ujinga sana nishakuwa na experience nao.