Kukimbiza Mwenge kila mwaka kuingiza Serikali gharama zisizo na tija

Yaani jamaa wewe daaah. Mwenge ni kitu muhimu sana katika taifa na uchumim so ni b3 tu ndio zinapotea au sio.
Basi leo nikueleze, na uendelee au uanze kuhudhuria kama unajiona una uhuru au ww maskini katika nchi yako. Na usilete mifano ya wengine nasema wewe.
Mwenge unachochea Maendeleo ya Miradi ya Kijamii na Kiuchumi, unapopita katika mikoa mbalimbali, unazindua, ukagua na kuweka jiwe la msingi kwenye miradi mbalimbali ya maendeleo kama vile shule, zahanati, barabara, miradi ya maji, na nishati. Hii huongeza uwajibikaji na kasi ya utekelezaji wa miradi, Kuimarisha Umoja na Mshikamano, Mwenge huunganisha Watanzania kutoka sehemu mbalimbali bila kujali dini, kabila au rangi. Huu ni mfano wa kusherehekea umoja na amani ya kitaifa.
Elimu pia, Wakati wa mbio za mwenge, ujumbe mbalimbali wa kitaifa hutolewa kuhusu masuala ya afya (kama UKIMWI, malaria), mazingira, rushwa, na uzalishaji wa ndani. Hii huongeza uelewa kwa jamii.

La mwisho Kuhamasisha Vijana Vijana ndio wakimbiza mwenge na wanapata fursa ya kujifunza uongozi, uzalendo, na uwajibikaji, jambo ambalo huandaa kizazi kipya cha viongozi wa baadaye.
Sasa waone watu wapuuzi wanakimbizi mwenge. Wakina asas humo ndio wanatafuta tender. Sasa wewe hisi tenda za kuuza maziwa.
Pumbavu
 
Katika repoti ya CAG itakayowasilishwa bungeni kwenye hili bunge kuna kitu alikigusia wakati anawasilisha repoti hiyo kwa Rais kuhusu serikali kugharamia vitu ambavyo CAG alivisema havina tija kwa serikali na taifa kwa ujumla.
Ni wapi kwenye ripoti ya CAG kautaja mwenge?

CAG hawezi akaongelea vitu juu juu kama ulivyowasilisha hoja yako.
Hiyo miradi inayofunguliwa na Mwenge siingefunguliwa na viongozi wengine kikawaida kama ma DC,wabunge, RC, VP.
Kama nimekusoma vizuri, hukatai mwenge huo kuwepo.
Hizo gharama zinazotumika kukimbiza tu Mwenge zinawezafika 20 to 30 Milion kila wilaya na Tanzania kuna Takribani wilaya 180 x 20,000,000 =3,600,000,000 hapo hujaweka gharama za kitaifa za kuwasha na kuzima mwenge karibia bilion 3 kuzima 3 kuwasha.
Unaposema "zinawezafika" ina maana huna uhakika.

Sasa kama huna hata uhakika wa hata kiasi gani cha fedha zinazotumika kuuzungusha mwenge nchini, una uhakika gani CAG "alivyogusia" "kuvisema" vitu visivyo na tija alikuwa akimaanisha Kukimbiza mwenge?

Umeunga unga mambo ya CAG ili upate authority??🤯😌🐼🐒
Huu Mwenge kila Mwaka unatafuna bilion 10 kwangu naona nazo zifanywe hazina tija

Leo hawa wajinga na limwenge wao wametupotezea muda na limwenge lao wametoka nalo Airport. Tulikuwa tunapita kule
Hivi linapandishwaga Ndege hili litakataka
☝🏿 porojo zote ulitaka tu kuweka dukuduku zako, kudhihaki na kuwatusi Watanzania.

Mwenge ulikuwepo, Upo na utaendelea kuwepo.
 
Sikiliza ndugu huo mwenge ni ujinga sana nishakuwa na experience nao.
Nishapangiwa kazi ofisi ya dc kukaimu nafasi ya udas kwani das alikwenda kupiga shule masters mimi kituo changu kikiwa mkoani kama hro
Sasa nina experience na huo upumbavu nishakusanya sana hela za mwenge kutoka kwa watendaji .

Nikiwa kama mwenyekiti wa kamati ya fedha ya wilaya ya mwenge.
Mara 2 andaa sana vikao vya kamati ya Mwenge wilaya na mkoa kagua ruti ya mwenge.
Dc anaondoka kwenye mkesha usiku anakwambia wewe baki narudi ngoja nikaoge
Na mimi nilikuwa naondoka namwambia afisa tarafa abaki yaani uzunguke na mwenge mchana kutwa usiku ukeshe nao
Yule das alivyorudi na mimi nikaenda zangu shule na kuachana na kazi ofisi ya rc
Kwa hiyo we Acha tu
Mwenge ni upumbavu niliouexperience first hand labda kulipo hata wewe unayesifia huo ujinga
 
Wewe ni mjinga flani usiejielew
 
shenzi kwelikweli
 
Katika repoti ya CAG itakayowasilishwa bungeni kwenye hili bunge kuna kitu alikigusia wakati anawasilisha repoti hiyo kwa Rais kuhusu serikali kugharamia vitu ambavyo CAG alivisema havina tija kwa serikali na taifa kwa ujumla.

Hiyo miradi inayofunguliwa na Mwenge siingefunguliwa na viongozi wengine kikawaida kama ma DC,wabunge, RC, VP.

Hizo gharama zinazotumika kukimbiza tu Mwenge zinawezafika 20 to 30 Milion kila wilaya na Tanzania kuna Takribani wilaya 180 x 20,000,000 =3,600,000,000 hapo hujaweka gharama za kitaifa za kuwasha na kuzima mwenge karibia bilion 3 kuzima 3 kuwasha.

Huu Mwenge kila Mwaka unatafuna bilion 10 kwangu naona nazo zifanywe hazina tija

Leo hawa wajinga na limwenge wao wametupotezea muda na limwenge lao wametoka nalo Airport. Tulikuwa tunapita kule
Hivi linapandishwaga Ndege hili litakataka
😸😸😸😸😸
 
K

Kwamba mwenge ndio inalinda uhuru, mwenge unaakisi vipi gharama za kupata uhuru?

Ni matumizi mabovu ya pesa, huwezi teketeza zaidi ya bilioni 10 kwa tochi lisilo na faida yoyote, bilioni 10 inaweza rekebisha mambo mengi mnoooo
Bora hata ingekuwa tochi. Kile ni kibatari ambacho hata kikipigwa upepo kinazimika
 
Sikiliza ndugu huo mwenge ni ujinga sana nishakuwa na experience nao.
Nishapangiwa kazi ofisi ya dc kukaimu nafasi ya udas kwani das alikwenda kupiga shule masters mimi kituo changu kikiwa mkoani kama hro
Sasa nina experience na huo upumbavu nishakusanya sana hela za mwenge kutoka kwa watendaji .

Nikiwa kama mwenyekiti wa kamati ya fedha ya wilaya ya mwenge.
Mara 2 andaa sana vikao vya kamati ya Mwenge wilaya na mkoa kagua ruti ya mwenge.
Dc anaondoka kwenye mkesha usiku anakwambia wewe baki narudi ngoja nikaoge
Na mimi nilikuwa naondoka namwambia afisa tarafa abaki yaani uzunguke na mwenge mchana kutwa usiku ukeshe nao
Yule das alivyorudi na mimi nikaenda zangu shule na kuachana na kazi ofisi ya rc
Kwa hiyo we Acha tu
Mwenge ni upumbavu niliouexperience first hand labda kulipo hata wewe unayesifia huo ujinga
Muongo. Watanzania hamkosi story
 
DC anakuachia wewe anaenda kuoga na wewe unampasia afisa Tarafa 🤣🤣😂 daaah
 
Back
Top Bottom