Salaam
Jana nilishuhudia mtanange wa nusu fainali ya COSAFA kati ya Zimbabwe na Lesotho ulioshia kwa suluhu hadi filimbi ya mwisho ya dakika za kawaida
Hatua ya matuta golikipa wa Zimbawe alidaka 2 na kufungwa moja ilihali wao walipata zote
Penati ya nne ya Lesotho ndo msingi wa mada yangu maana mpigaji alikwenda akakishi kama anapiga kipa akalala halafu akafunga kilaini, kilichotokea mwamuzi alimfuata na kumpa kadi ya Njano na kumaliza mpira kumaanisha wazim wameshinda
nakumbuka hii sheria iliwahi kuondolewa kwa kukishi si kosa...............MSAADA ZAIDI
https://www.google.com/url?sa=t&rct=j&q=&esrc=s&source=web&cd=2&cad=rja&uact=8&ved=0ahUKEwjcuNvD5sDbAhUL7BQKHaiWC70QtwIIKjAB&url=https://www.youtube.com/watch?v=qyxS1jnnbLA&usg=AOvVaw35nHNNXMaEjooXqPiB5pjo
[emoji116]View attachment VID-20180604-WA0024.mp4Kukishi ni nini?
daaah umenchekesha sana mkuu ........Hii ndo maana haswaaaaaya KUKISHI[emoji116]View attachment 796383
Haa haa kabsa mkuu hyo ndodaaah umenchekesha sana mkuu ........Hii ndo maana haswaaaaaya KUKISHI
Cjui aisee hii n ya mchanganHii penati maamuzi yalikuwaje?
Inarudiwa?
Mpigaji ni kiazi ambaye hajawai tokea dunia iumbwe[emoji116]View attachment 796383
Cjui aisee hii n ya mchangan
Nmetolea mfano kuna alie sema
Hajui maana ya kukish
Mpigaji ni kiazi ambaye hajawai tokea dunia iumbwe
Yaaah ilikua n kosa zaman Sasa cjuiLakini hii sheria siku hizi haipo, zamani ilikuwa ni kosa.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Utakuwa hukuona penati ya Bashite.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mpigaji ni kiazi ambaye hajawai tokea dunia iumbwe
nimeshangaa jana