Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kudanganya.kama unapiga mpira alaf unasita.Kukishi ni nini?
Salaam
Jana nilishuhudia mtanange wa nusu fainali ya COSAFA kati ya Zimbabwe na Lesotho ulioshia kwa suluhu hadi filimbi ya mwisho ya dakika za kawaida
Hatua ya matuta golikipa wa Zimbawe alidaka 2 na kufungwa moja ilihali wao walipata zote
Penati ya nne ya Lesotho ndo msingi wa mada yangu maana mpigaji alikwenda akakishi kama anapiga kipa akalala halafu akafunga kilaini, kilichotokea mwamuzi alimfuata na kumpa kadi ya Njano na kumaliza mpira kumaanisha wazim wameshinda
Nakumbuka hii sheria iliwahi kuondolewa kwa kukishi si kosa...............MSAADA ZAIDI
Ujue mpigaji hakukishi bali alinyuti kwenye point ya kupiga ila kukishi haina shida wakati unaelekea kupiga mkwaju.Cjui aisee hii n ya mchangan
Nmetolea mfano kuna alie sema
Hajui maana ya kukish