Siku za hivi karibuni tumeshuhudia katika vyombo mbalimbali na mitandao kuongezeka kwa ajali za mara kwa mara. Ajali hizo zinapelekea vifo kwa wengi, kupata ulemavu wa kudumu na majeraha mbali mbali.
Lakini swali kubwa linabaki. Je kwa nini kumekuwa na ongezeko hili kubwa la ajali barabarani la kupelekea maafa kwa wapendwa wetu na nini kifanyike kupunguza ajali hizo?
Miongoni mwa yafuatayo ni maoni na mtazamo wangu kwa mamnalaka dhidi ya kupunguza na kukomesha ajali za barabarani
Vyanzo vya ajali za barabarani
1. UZEMBE WA MADEREVA
Hii ndo imekuwa sababu kubwa wa ajali nyingi zinazotokea kwa sasa barabarani, uzembe unasabishwa na madereva wengi kukosa umakini na kutochukua tahadhari ya alama za barabarani kwa kupita magari mengine sehemu isiyo salama au bila kuchukua tahadhari
2. KUTUMIA VILEO WAKATI WA KUENDESHA VYOMBO VYA MOTO
hii nayo ni sababu moja wapo inayo aminika kuchangia ajali nyingi za barabarani, madereva wengi kutumia vileo kupita kiasi hivyo kupoteza umakini wawapo barabarani
3. UBOVU WA VYOMBO VYA MOTO
Kutokuzingatia kupatia chombo chako cha moto huduma ya matengenezo kwa mda sahihi inachangia sana ajali, mfano kupitisha mda wa kukaguliwa chombo cha moto uimara wa matairi, breki za vyombo vya moto
4. MASHINDANO YA KAMPUNI ZA MAGARI
Kumekuwa na ushindani wa kampuni za magari ya abiria kwa kuendesha vyombo vyao kwa spidi kubwa ili kuwahi kufika sehemu wanazoenda haraka na kuwa kinara kwa kufika wa kwanza ili kuvutia wateja nayo ni sabab kubwa ya vyanzo vya ajali.
5. UCHOVU WA MADEREVA
Madereva wengi hasawa wanaondesha masafa marefu wamekuwa na ukosefu mzuri wa mda wa kupumzika hivyo huwapelekea kusinzia au kutokuwa makini pindi wanapo endesha vyombo vya moto
6. UTUMIAJI WA SIMU NA KUTOKUFUNGA MIKANDA
Tumeshuhudia madereva wengi wanapenda kutumia simu pindi wanapo endesha vyombo vya moto na inachangia kiasi kikubwa ajali za barabarani hata kutokutumia mikanda kwa abiria inahatarisha usalama wa abiria kwa ujumla
NINI KIFANYIKE KUPUNGUZA TATIZO HILI?
1. ELIMU KWA ABIRIA NA MADEREVA KWA UJUMLA
Elimu iwe wakati gani kumkemea dereva mara moja pindi anapofanya tukio la kuhatarish usalama, matumizi ya mikanda na manufaa yake
2. UKAGUZI WA MARA KWA MARA KWA VYOMBO VYA USAFIRI
Mamlaka husika inatakiwa kuongeza nguvu bila kuchoka kufanya kaguzi na kuhakikisha vyeti maalum vinatolewa na kampuni za ukaguzi wa magari
3. ADHABU KALI KWA WALE WANAOBAINIKA KUHATARISHA USALAMA WA BARABARANI
itasaidia kupunguza tatizo la ajari na kuongeza umakini kwa madereva kwa kofia adhabu kali kama kupokonywa leseni, kutozwa faini au vyote kwa pamoja
4. KUWE NA WALAU MADEREVA WAWILI
Kwa safari za masafa marefu kuna ulazima kuwe na madereva wawili ili wapokezane na kuongeza umakini barabarani na kutokuchoka
Pia uwepo namba za dharula kwa abiria pindi linapotokea tukio lolote la kuhatarisha maisha liweze lipotiwa na hatua za haraka zichukuliwe na mnalaka
Kwa kuongezea Matumizi ya simu kusitishwa kwa madereva hadi wakat wa dharula na simu ipolekelewe na msaidiz wa dereva na Kuwepo alama za barabarani zenye kuonyesha mwendo wa chombo kutembea

Upvote
0