nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,039
- 2,657
Aliyewahi kupata hii message, tafadhali aniambie kama kuna ukweli ya kuwa ukikodisha kwa kutoa username na password ya account yako ya linked ambayo ina muda kuanzia nusu mwaka yani miezi 6, lakini pia lazima iwe na connection ya watu kuanzia 100 na kuendelea kisha kila baada ya wiki unalipwa dola 10.
Angalizo usijibu kwa kudhania, sababu kuna watu huenda ikawa ni fursa yao iwapo taarifa itakuwa ya kweli
Angalizo usijibu kwa kudhania, sababu kuna watu huenda ikawa ni fursa yao iwapo taarifa itakuwa ya kweli