aliewahi kupata hii message, tafadhali aniambie kama kuna ukweli ya kua ukikodisha kwa kutoa user name na password ya account yako ya linked ambayo ina muda kuanzia nusu mwaka yani miezi 6,.lakin pia lazima iwe na connection ya watu kuanzia 100 na kuendelea kisha kila baada ya wiki unalipwa dola 10.
angalizo usijibu kwa kuges, sababu kuna watu huenda ikawa ni fursa yao iwapo taarifa itakua ya kweli