Kukohoa sana wakati was usiku

Kukohoa sana wakati was usiku

zugimlole

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
2,078
Reaction score
1,352
Natumai mu wazima wa afya

Mdogo wangu anakohoa sana usiku Siku mbili hajalala sababu ya kukohoa pia analalamika kupumua kwa shida sana na kifua kumuuma na kubana

Tafadhali naombeni msaada was haraka na ushauri.
 
Twanga tangawizi kiasi kisha tia ktk glasi moja maji safi na salama, Anywe juisi hiyo glasi 1 kwa kutwa kwa muda wa siku 7, Au awe anatafuna tangawizi mara kwa mara.
 
Natumai mu wazima wa afya

Mdogo wangu anakohoa sana usiku Siku mbili hajalala sababu ya kukohoa pia analalamika kupumua kwa shida sana na kifua kumuuma na kubana

Tafadhali naombeni msaada was haraka na ushauri.
Chukua tangawizi uitwange alafu ianike ikauke na ikuwe kavu. Kisha itwange tena hadi ikuwe unga. Baada ya hapo, chukua ule unga changanya na asali kidogo, kisha kuwa karibu nayo ili usiku unakua unalamba mchanganyiko wa dawa yako kila hiyo hali inapo jitokeza.
Kwa ushauri zaidi, nenda ukamuone daktari na hakikisha unapima TB
 
Natumai mu wazima wa afya

Mdogo wangu anakohoa sana usiku Siku mbili hajalala sababu ya kukohoa pia analalamika kupumua kwa shida sana na kifua kumuuma na kubana

Tafadhali naombeni msaada was haraka na ushauri.
Peleka huyo mtoto hospitali, wafanye check up na kujua tatizo ni nini. Ukianza kuambiwa mara tangawizi, asali, kitunguu swaumu n.k. utakuwa umechelewa kujua tatizo. Augue pole
 
Kwanza mtoto wako ana umri gani, kama ameshaanza kutambaa Possibly ana minyoo, jaribu kwenda kupima choo na kama ana minyoo mwanzishie dozi
 
Mkuu muwahishe hospital haraka I'll tatizo likigundulika mapema aanze matibabu.
 
Back
Top Bottom