Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chukua tangawizi uitwange alafu ianike ikauke na ikuwe kavu. Kisha itwange tena hadi ikuwe unga. Baada ya hapo, chukua ule unga changanya na asali kidogo, kisha kuwa karibu nayo ili usiku unakua unalamba mchanganyiko wa dawa yako kila hiyo hali inapo jitokeza.Natumai mu wazima wa afya
Mdogo wangu anakohoa sana usiku Siku mbili hajalala sababu ya kukohoa pia analalamika kupumua kwa shida sana na kifua kumuuma na kubana
Tafadhali naombeni msaada was haraka na ushauri.
Peleka huyo mtoto hospitali, wafanye check up na kujua tatizo ni nini. Ukianza kuambiwa mara tangawizi, asali, kitunguu swaumu n.k. utakuwa umechelewa kujua tatizo. Augue poleNatumai mu wazima wa afya
Mdogo wangu anakohoa sana usiku Siku mbili hajalala sababu ya kukohoa pia analalamika kupumua kwa shida sana na kifua kumuuma na kubana
Tafadhali naombeni msaada was haraka na ushauri.