Kukojoa mara kwa mara kunatokana na nini?

Kukojoa mara kwa mara kunatokana na nini?

Habari za asubuhi.

Jamani naomba msaada kwani mimi ndani ya dakika 2 naweza kukojoa zaidi ta mara 5, sina kisukari na pia nilishafanyiwa turp kuondoa inlammed prostate, hili ni tatizo gani? je linatibika?
 
Nina tatizo la kukojoa marakwa Mara ucku, pia mkojo huwa unakatika katika mwishoni Kwa nyakati zote, naomba msaada wenu
 
Back
Top Bottom