ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Kweli kabisa yatakuwa ma swimming pool ya uswaziHadi kimba?
Ndio maana watu wanafanya high pricing ili kupunguza watu wa namna iyo. Unapiga mbizi unaibukia juu na kimba ukiwa mdomo waziπ·π·ππ
π€£π€£Hatari sana aisee.Hadi kimba?
Ndio maana watu wanafanya high pricing ili kupunguza watu wa namna iyo. Unapiga mbizi unaibukia juu na kimba ukiwa mdomo waziπ·π·ππ
Mikoani hamnyi humo?Mambo ya dar ayo, uko busy unaogelea mdomo wazi Mara kimba hili hapa
Hahaha sipati picha wakuu.
Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
Siyo kila siku.Hakuna mtu hajawahi kukojoa kwenye pool nasema hakuna mtu huyo
Kanuni za pool lazima ujimwagie maji kwanza ika swala la kukojoa wote tunakojoamo humoSiyo kila siku.
Kuna gym fulani ina swimming pool ni haiwezekani umalize mazoezi halafu ukiwa umeingia kwenye swimming pool ukojoe.
Tabia hii ipo kwetu wakina dada, yani tukisha ingia ,labda kwa zile nguo zinachora"k" ilivyo mtu anaamua abaki ndani , anakojoa huko huko we utashangaa tu ukioga unawashwa.Najua hii tabia wanayo binadam wengi unakuta mnaogelea katika pool mtu anabanwa mkojo badala aende toilet anaamua kumalizia shida zake humohumo ndani.mwingine ndo shenzi wahed anakunya na kunya kabisa unaweza ukashangaa mββ| yanapanda juu ya maji...aisee kweli nimeamini kila mtu Ana upumbavu wake usichoweza kukifanya wewe mwingine anakifanya and vise versa is true.
Baharini mabomba yote ya Mwananyamala hospital, Muhimbili, Aga khan Hospital,Ocean Road, posta yote na Kariakoo, yale ma** ya wa--maize na pilipili yanaelekezwa baharini yaani, sasa afadhali ipi, mkojo wetu au ma-V ya posta na Muhimbili?Kuogelea kwenye hayo madude nilishashindwa. Baharini sawa.
Bahari ni kubwa na maji ya bahari ni mengi.ππBaharini mabomba yote ya Mwananyamala hospital, muhimbili, aga khan, posta yote na kariakoo, yale ma** ya wa--maize na pilipili yanaelekezwa baharini, sasa afadhali ipi, mkojo wetu au ma-V ya posta na muhimbili?
Yanaingilia pale ferry, nyumba nyeupe pale magogoni na ndio maana maji yakipungua unasikia harufu mbaya ya mizoga, wanao toa mimba na kila kitu.Bahari ni kubwa na maji ya bahari ni mengi.ππ
unaangalia uumbaji, sasa si unajitesa mwenyewe na uishie kupiga puli?Sijawahi kuwaza kuogelea kwenye hizo mambo japo sikuwahi kujua kama kuna mishe za aina hiyo, naishiaga kukaa na kushangaa.
Daah ukiwa na roho nyepesi kiukweli lazima uingie majaribuni mkuu, ila mara nyingi nilikuwa naenda na pisi kali ikitokea geto nakuwa nshajikamua tayari pale naenda kushangaa tu.unaangalia uumbaji, sasa si unajitesa mwenyewe na uishie kupiga puli?