Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Kukokotoa punguzo la bei ya mafuta ya petroli na dizeli kwa mwezi wa sita 2022 baada ya kuongezewa ruzuku ya billioni 100 (100B)
Habarini za leo great thinkers,
Habarini za jumapili,
Kama nilivyo ahidi kwamba nitatafuta muda wa kufanya hesabu ili tuweze kufahamu punguzo la bei ya mafuta ya petroli na dizeli mwezi wa sita 2022 itakavyokuwa mara tu baada ya kuongezewa ruzuku ya billioni 100.
Naomba nianze hivi.
Nanukuu maelezo ya waziri wa nishati Mh. January Makamba ili hesabu zangu ziende vizuri.
"Waziri Makamba aliongeza kuwa hadi kufikia Aprili 1, 2022 petroli iliyokuwa kwenye maghala ni jumla ya lita 118,594,024 yanayotosheleza siku 27, dizeli lita 116,486,705 yanatosheleza siku 19, Mafuta ya taa lita 6,823,710 yanatosheleza siku 108 na Mafuta ya ndege lita 12,841,822 yanatosheleza siku 35.
Hivyo matumizi ya petroli kwa siku 30
= (lita 118,594,024 × 30) ÷ 27
= lita 131,771,137.778 za mafuta ya petroli kwa siku 30
Hivyo matumizi ya dizeli kwa siku 30
= (lita 116,486,705 × 30) ÷ 19
= lita 183,926,376.316 za mafuta ya dizeli kwa siku 30
Hivyo matumizi ya mafuta ya taa kwa siku 30
= (lita 6,823,710 × 30) ÷ 108
= lita 1,895,475 za mafuta ya taa kwa siku 30
Hivyo matumizi ya mafuta ya ndege kwa siku 30
= (lita 12,841,822 × 30) ÷ 35
= lita 11,007,276 za mafuta ya ndege kwa siku 30
Tuhakikishe kama kweli hesabu zetu kama zimekwenda sawa kupitia maelezo ya Mh January Makamba. Nanukuu
"Vilevile kuna meli ambazo zimewasili nchini na zinaendelea kushusha mafuta zikiwa na lita 86,256,000 za dizeli.
Hivyo kwa kuzingatia mafuta yaliyokuwepo tarehe 01 Aprili 2022 nchi itakuwa na jumla ya lita 202,742,705 za mafuta ya dizeli zitakazotosheleza matumizi ya nchi kwa siku 33."
Hivyo matumizi ya dizeli kwa siku 30
= (lita 202,742,705 × 30) ÷ 33
= lita 184,311,550 za mafuta ya dizeli kwa siku 30
"hivyo nchi itakuwa na jumla ya lita 189,979,324 za mafuta ya petroli yakutosheleza siku 37".
Hivyo matumizi ya petroli kwa siku 30
= (lita 189,979,324 × 30) ÷ 37
= lita 154,037,289.73 za mafuta ya petroli kwa siku 30
Hesabu za mafuta ya dizeli zimetofautiana kidogo hivyo inabidi tutafute wastani.
Wastani wa matumizi ya petroli kwa siku 30
= (lita 131,771,137.778+ lita 154,037,289.73)÷2
= lita 142,904,213.754 za mafuta ya petroli kwa siku 30
Wastani wa matumizi ya dizeli kwa siku 30
= (lita 183,926,376.316+184,311,550)÷2
= lita 184,118,963.158 za mafuta ya dizeli kwa siku 30
Endapo kama ruzuku ya billioni 100 (100B) iliyotolewa ni kwaajili ya mwezi mmoja tu (siku 30) na ni kwa mafuta ya petroli na dizeli tu
Jumla ya matumizi ya petroli na dizeli kwa siku 30
= lita 142,904,213.754 za petroli + 184,118,963.158 za dizeli
Jumla = lita 327,023,176.912
Jumla ya Ruzuku iliyotolewa kwa mwezi (siku 30)
Tsh Billioni 100 = Tsh 100,000,000,000
Endapo bei ya mafuta haitabadilika katika soko la dunia mwezi wa sita.
Ruzuku kwa lita moja ya mafuta
Ruzuku kwa lita = Jumla ya Ruzuku kwa mwezi (siku 30) ÷ Jumla ya matumizi ya mafuta ya petroli na dizeli kwa mwezi (siku 30)
= Tsh 100,000,000,000 ÷ lita 327,023,176.912
= Tsh 305.78 kwa lita
Bei ya mafuta baada ya ruzuku
= Bei ya kamili - Ruzuku kwa lita
= Bei kamili - Tsh 305.78
Hivyo:
Bei ya mafuta kwa lita baada ya ruzuku = Bei ya kamili - Tsh 305.78
Hivyo mafuta ya petroli na dizeli yatakua na punguzo la Tsh 305.78 baada ya kuwekwa ruzuku ya mwezi wa sita iliyotolewa. Punguzo litakua hivyo kama hiyo ruzuku ni kwaajili ya mwezi mmoja tu.
Kama ruzuku ni kwa miezi miwili hesabu zitabadilika na kuwa hivi
Bei ya mafuta kwa lita baada ya ruzuku = Bei ya kamili - Tsh 152.89
Kama ruzuku ni kwa miezi mitatu hesabu zitabadilika na kuwa hivi
Bei ya mafuta kwa lita baada ya ruzuku = Bei ya kamili - Tsh 101.93
Lakini pia punguzo litakua hivyo endapo kama matumizi ya mafuta kwa mwezi au siku 30 ni sahihi na bei ya mafuta katika soko la dunia haitabadilika mwezi wa sita.
campuscitymall.com
Bright and Genius Editors
Ni waandishi na wahariri wa documents mbalimbali
Tovuti: www.bgeditors.com
Barua pepe: bandg.editors@gmail.com/contact@bgeditors.com
Call/Whatsapp: +255687746471/+255612607426

Mwongozo wa Ujenzi na Uendeshaji wa Vituo vya Mafuta kwa Gharama Nafuu
Mwongozo wa Ujenzi na Uendeshaji wa Vituo Vya Mafuta kwa Gharama Nafuu Whatsapp: 0612607426 Call: 0687746471