Ubaya Ubwela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 1,353
- 3,060
Ligi yetu inapoelekea ni kubaya sana, ili kukomesha huu upangaji wa matokeo kwa timu ya Yanga kujichukulia point kwa baadhi ya timu zinazodhaminiwa na mfadhili wao mkuu GSM ni Mo kui giangia Mzigo kwakudhidhamini timu kadhaa zinazoshiriki Ligi Kuu
Mo akishafanya hivyo ndo watu watastuka ila hii ya kupiga kelele bila vitendo haiwezi kusaidia hata kidogo, Utopolo Msimu huu timu yao ni mbovu Mno mpaka sasa kilichowaweka hapo kwenye hiyo nafasi ya pili ni fadhira ya timu zinazozaminiwa na GSM, Na duka lao Singida BS inayomilikiwa na Mwigulu
Hii mechi ya leo Yanga Vs Singinda ni uthibitisho tosha kua kuna upangaji wa matokeo wa waziwazi bila kificho, upangaji wa kujionyesha hii ni mbaya sana