Kupanga matokeo haimaanishi hakuna mechi mnazoshinda kwa haki Unacheza kwa haki mechi 12 halafu 6 unapanga. Kinachotakiwa ni mechi zote ziwe haki bin haki.Huo ujinga mnaofanya na singida uko wazi kabisa.Mechi ya kwanza mkiwa wageni mlipanga na singida kuhamishia mechi zanzibar. Kitendo cha kuhamishia mechi zanzibar kilikuwa na faida kwenu wageni kuliko mwenyeji singida na ilifanyika hivyo makusudi kabisa.Baada ya mechi dhidi yenu singida hajawahi kuchezea mechi zanzibar.Hili swali hawezi kukujibu. Badala yake ataanza kuwataja akina Kayoko, badala ya Tatu Malogo.