Kukomesha huu upangaji wa matokeo Inabidi Mo Aingie Mzigoni

Hili swali hawezi kukujibu. Badala yake ataanza kuwataja akina Kayoko, badala ya Tatu Malogo.
Kupanga matokeo haimaanishi hakuna mechi mnazoshinda kwa haki Unacheza kwa haki mechi 12 halafu 6 unapanga. Kinachotakiwa ni mechi zote ziwe haki bin haki.Huo ujinga mnaofanya na singida uko wazi kabisa.Mechi ya kwanza mkiwa wageni mlipanga na singida kuhamishia mechi zanzibar. Kitendo cha kuhamishia mechi zanzibar kilikuwa na faida kwenu wageni kuliko mwenyeji singida na ilifanyika hivyo makusudi kabisa.Baada ya mechi dhidi yenu singida hajawahi kuchezea mechi zanzibar.
 
Reactions: Tui
Hivi mara ya mwisho Simba na Yanga nani alifungwa vile?...Hivi na Simba naye anadhaminiwa na GSM....pambaneni vijana acheni kulialia
 
Kwa hiyo matokeo wanapanga Singida tu! Vipi na kuhusu Simba iliyofungwa mara nne mfululizo kwenye mechi zote za walizokutana na Yanga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…