Biashara yeyote, ambayo haipo au haina msingi wa kisheria ni kufukuza upepo. Biashara ya kukopesha mahali popote haina mashiko.. Benki unaona wamechemsha, wanabadilisha riba na mambo kadha wa kadha lakini bado itabuma kwa nini... Wanajaribu kuziba jino lililotoboka, lazima litaachia tu..
Kiukweli ni watu wachache sana wanastahili kukopeshwa na wanaostahili na kufaa kukopeshwa , hawahitaji kukopa . Wale wasiostahili kwa kiwango kikubwa ndio wakopaji, na ndio maana kuna shida .. Unaweza kupanua wigo huo , kuingiza makampuni , mataifa Nk.. Biblia inasema mkopaji ni mtumwa wa mkopeshaji, hapo sasa .