Kukopeshana hela mtaani kwa riba ni biashara iliyoshamiri na inalipa sana

Biashara yeyote, ambayo haipo au haina msingi wa kisheria ni kufukuza upepo. Biashara ya kukopesha mahali popote haina mashiko.. Benki unaona wamechemsha, wanabadilisha riba na mambo kadha wa kadha lakini bado itabuma kwa nini... Wanajaribu kuziba jino lililotoboka, lazima litaachia tu..
Kiukweli ni watu wachache sana wanastahili kukopeshwa na wanaostahili na kufaa kukopeshwa , hawahitaji kukopa . Wale wasiostahili kwa kiwango kikubwa ndio wakopaji, na ndio maana kuna shida .. Unaweza kupanua wigo huo , kuingiza makampuni , mataifa Nk.. Biblia inasema mkopaji ni mtumwa wa mkopeshaji, hapo sasa .
 
kukopesha pesa bila kibali cha BOT ni kosa kisheria. Kibali cha bot ni leseni. Wengi wanaofanya hii biashara hawajui hadi siku wameshindwana kulipana na kupelekana polisi ndio wanajua ni haramu.
na SACCOS wana vibali vya BOT?
 
Hauwezi kupata maendeleo bila kukopa...Mfanyabiashara anaetumia pesa yake kufanya biashara ni mpumbavu...unatakiwa utumie pesa ya kukopa au hisa ..period
 
leseni ya BOT inataka uwe na minimum capital milioni 650.....na fee yake ni milioni 10
 
Ni haramu na ni money loundaring
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…