realMamy
JF-Expert Member
- Apr 28, 2024
- 3,925
- 8,853
Hali ya “Kukoroma” hutokea kwa baadhi ya watu wakiwa wamelala.
Linaendelea kuwa tatizo kwa sababu linazidi kukua kwa kasi.
Kwa wale tuliosoma Shule za Bweni tunalijua vizuri hili tatizo.
Lakini hili tatizo pia lipo Nyumbani, kwenye mabasi, kazini na sehemu nyingine kama hizo.
Niliwahi pia kusikia kuwa linasababishwa na Nyama za pua.
Je, hili ni tatizo la Kiafya?
Vumbi?, Unywaji wa Pombe? Kuchoka Au ni tabia ya mtu?