Na binadamu anakuwa "determined" na NATURE(genetic-make up) na NURTURE(malezi).Unakuta mmezaliwa 8 kwa familia moja
Wote hamuwezi.kuimba
Wote hamuwezi kuanzisha biashara yoyote ile
Wote hamna uwezo wa kufaulu..yaani wa afadhali ni div 4 ya 28
Wote hamuoi wala kuolewa
Wote mnajikuta ni walevi, sigara; bange nk
Wote hamuondoki kwa wazazi wenu, mnaoa na kuzaa hapo hapo
Sasa hii si laana hapana, hili ni kosa la ki genetic, ni tatizo kubwa sana...na wachungaji feki wanasema ni laana za ukoo - fix Kubwa
Na ndiyo maana kuwa makini ukizaa watoto wawili mbumbumbu shituka - acha jaribu kupata mmoja wa nje... usijaze mijinga nyumbani kwako.
Sheikh usifanye tukujibu hapa tukatengua swaumu zetu.Una point, ndio maana utakuta Waarabu ukoo mzima wajinga watupu kwa sababu ya kuowana wenyewe kwa wenyewe.
Ha ha ha mbona ninaowajua hawana elimu hivyo usemavyo ila ni MATAJIRI.....Una point, ndio maana utakuta Waarabu ukoo mzima wajinga watupu kwa sababu ya kuowana wenyewe kwa wenyewe.
Na Waafrika wanaogawa mali nje bure kila kukicha mikataba haina kichwa wala miguh upo mwaka Tanesco waliwahi kuingia na wahuni wa SA kampuni moja eti wasimamie management tu sijui unakumbuka hili sakata hawa watu tatizo ni nini maana hawaoani kama Waarabu.Una point, ndio maana utakuta Waarabu ukoo mzima wajinga watupu kwa sababu ya kuowana wenyewe kwa wenyewe.
Hao walioingia hiyo mikataba feki watakuwa ni waarabu waliooana ndugu.....Na Waafrika wanaogawa mali nje bure kila kukicha mikataba haina kichwa wala miguh upo mwaka Tanesco waliwahi kuingia na wahuni wa SA kampuni moja eti wasimamie management tu sijui unakumbuka hili sakata hawa watu tatizo ni nini maana hawaoani kama Waarabu.
Unaweza kumuoa dada yako na mkazaa mtoto safi na Genious kama mlivyo ama zezeta, hoja ni kwamba Je hii formula inafanyikaje?Hao walioingia hiyo mikataba feki watakuwa ni waarabu waliooana ndugu.....
Kwa sasa hamna solution kwa hilo , mtoto genius ni kama unacheza kamali ya jackpotKwa mfano mie nikitaka mtoto Genious nifanyaje kumpata wakati wa reproduction?
Na ndiyo maana tunasema kuna sehemu sayansi yetu inakoma kabisa ndo wanaingia wazee wa maombi ya kutoa laana za ukoo.Kwa sasa hamna solution kwa hilo , mtoto genius ni kama unacheza kamali ya jackpot
Ingawa unaweza kuzaa mtoto wala sio genius ila jinsi utakavyomlea unaweza kupandisha IQ yake na akakaribua mategemeo yako
Nasikia mpaka kutokuoa au kuolewa nayo ni laana ya ukooNa ndiyo maana tunasema kuna sehemu sayansi yetu inakoma kabisa ndo wanaingia wazee wa maombi ya kutoa laana za ukoo.
Sjawah ona genius kwa genius wakazaa zezeta ila mbumbumbu kwa mbumbumbu nakubal wanaweza toa kichwaGenetic ina formula ambayo mwanadamu mpaka leo hajui inafanyikaje, kwa mfano genius anaweza kuoa genius lakini wakazaa zezeta.. believe me.
Na pia kuna senario unakuta ma mbummbu yote mke na mme yamezaa katoto Genious .
Hii ni elimu ambayo mwanadamu wa leo hawezi kujua formula zinafanyikaje.
KUNA KITU KINAITWA ENVIRONMENT INFLUENCE OF GENE EXPRESSIONUnakuta mmezaliwa 8 kwa familia moja Wote hamuwezi.kuimba. Wote hamuwezi kuanzisha biashara yoyote ile
Wote hamna uwezo wa kufaulu..yaani wa afadhali ni div 4 ya 28 Wote hamuoi wala kuolewa
Wote mnajikuta ni walevi, sigara; bange nk
Wote hamuondoki kwa wazazi wenu, mnaoa na kuzaa hapo hapo
Sasa hii si laana hapana, hili ni kosa la ki genetic, ni tatizo kubwa sana...na wachungaji feki wanasema ni laana za ukoo - fix Kubwa
Na ndiyo maana kuwa makini ukizaa watoto wawili mbumbumbu shituka - acha jaribu kupata mmoja wa nje... usijaze wajinga, mazezeta nyumbani kwako.
Unakuta mmezaliwa 8 kwa familia moja Wote hamuwezi.kuimba. Wote hamuwezi kuanzisha biashara yoyote ile

Mwanzisha thread ana point japo amejichanganya kidogo kwenye kuelezea. Kwa mfano amechanganya ''talents'' na ''IQ'' kuwa ni kama kitu kimoja. Mtu unaweza kuwa na IQ ya juu lakini ukawa huna kipaji kwenye jambo fulani. Nadhani wewe umeweka vizuri zaidi kwa kutumia maneno machache. Ukweli ni kwamba vyote viwili vinategemeana.Na binadamu anakuwa "determined" na NATURE(genetic-make up) na NURTURE(malezi).
Kudos !!