Kukosa akili ni tatizo la ki genetic, si chakula wala mazingira - si laana

Unakuta mmezaliwa 8 kwa familia moja Wote hamuwezi.kuimba. Wote hamuwezi kuanzisha biashara yoyote ile

Wote hamna uwezo wa kufaulu..yaani wa afadhali ni div 4 ya 28 Wote hamuoi wala kuolewa
Wote mnajikuta ni walevi, sigara; mnapenda ngono, bange nk

Wote hamuondoki kwa wazazi wenu, mnaoa na kuzaliana hapo hapo.

Sasa hii si laana hapana, hili ni kosa la ki genetic, ni tatizo kubwa sana...na wachungaji feki wanasema ni laana za ukoo - fix Kubwa

Na ndiyo maana kuwa makini ukizaa watoto wawili mbumbumbu shituka - acha jaribu kupata mmoja wa nje... usijaze wajinga, mazezeta nyumbani kwako.
Kuna vitu ni cheap kuvipata ila vingine vyote vyenye mafanikio unatakiwa kuwork hard kuvipata
 
Unakuta mmezaliwa 8 kwa familia moja Wote hamuwezi.kuimba. Wote hamuwezi kuanzisha biashara yoyote ile

Wote hamna uwezo wa kufaulu..yaani wa afadhali ni div 4 ya 28 Wote hamuoi wala kuolewa
Wote mnajikuta ni walevi, sigara; mnapenda ngono, bange nk

Wote hamuondoki kwa wazazi wenu, mnaoa na kuzaliana hapo hapo.

Sasa hii si laana hapana, hili ni kosa la ki genetic, ni tatizo kubwa sana...na wachungaji feki wanasema ni laana za ukoo - fix Kubwa

Na ndiyo maana kuwa makini ukizaa watoto wawili mbumbumbu shituka - acha jaribu kupata mmoja wa nje... usijaze wajinga, mazezeta nyumbani kwako.
Umechanganya sana mambo unaweka hisia kazi za kwenu
Umechanganya vipaji na akili umechanganya malezi mabovu na genetics.
Mtu kutokua hiyo ni swala la malezi na makuzi mtu kutokuolewa nalo linahusiana na malezi na makuzi halina uhusiano na vinasaba
 
Back
Top Bottom