Kukosa akili ni tatizo la ki genetic, si chakula wala mazingira - si laana

Unakuta mmezaliwa 8 kwa familia moja Wote hamuoi wala kuolewa
Wote mnajikuta ni walevi, sigara; bange nk

Wote hamuondoki kwa wazazi wenu, mnaoa na kuzaa hapo hapo
Ebu fafanua vizuri zaidi, kuna uhusiano gani Kati ya genetic na ulevi, bange, kuolewa au kutoolewa. Genetic ni Elimu ya kisayansi, naomba ufafanue kisayansi uhusiano uliopo wa ulivyovitaja.
 
Kudos. Haya mambo ni complex na yanategemeana. Halafu tukumbuke kuwa siyo lazima urithi kila kitu kutoka kwa ''immediate parents'', yaani wazazi wako waliokuzaa. Kuna watu wanarithi vizazi vya nyuma, eg mababu wa babu nk.
 
Hata kipaji nacho kinataka mfumo wa kidunia. Mtu anaweza kujua kucheza mpira lakini akakulia kwenye mazingira mabovu akaishia kuwa mwokota makopo.
 
Mambo ya epigenetic hayo...niliona mahali kuna miziki mama mwenye mimba akianza kusikiliza watoto wanaozaliwa wanakua na uwezo mkubwa kiakili...so huwezi kusema ni genetic make up peke yake.
 
Una point, ndio maana utakuta Waarabu ukoo mzima wajinga watupu kwa sababu ya kuowana wenyewe kwa wenyewe.
Ebu tutajie familia moja ya waraabu ambao ni wajinga watupu! Vipi watz ambao hamuowani wenyewe kwa wenyewe mmepiga hatua kiasi gani kimaendeleo zaid ya mazuzu wachache ambao wanapigwa pesa na manabii wa uongo!?na kuabudia masanamu waliyoyaunda wenyewe,nani zuzu hapo?
 
Kwa hiyo tukubaliane kuwa tatizo la Africa ni la kijenetic zaidi, sio kwa sababu ya ugali, fufu, nshima na makande?
 
Ha ha ha mbona ninaowajua hawana elimu hivyo usemavyo ila ni MATAJIRI.....

Mjinga anaweza kufanya biashara akaiendeleza ,ikadumu vizazi na akawa TAJIRI ?!!

Wayahudi (Orthodox) pia wanaoana ndani ya "ukoo" ila ni VIPANGA haswa.....
Ujinga ni hali ya kutofahamu. Huwezi kuwa mjinga katika kila jambo. Hata ma prof ni werevu katika maeneo yao waliyosomea. Ila ni wajinga katika maeneo mengine.
 
Mambo ya epigenetic hayo...niliona mahali kuna miziki mama mwenye mimba akianza kusikiliza watoto wanaozaliwa wanakua na uwezo mkubwa kiakili...so huwezi kusema ni genetic make up peke yake.
Kwa hiyo mazingira, lishe na hiyo jenetiki vyote kwa pamoja?

Sasa tatizo la Afrika ni nini?
 
Jii ipo Nadhan mendelin law. XX ma YY, TT n SS nk. zi sipo cross zikawa dominant hupat trait husika ila unakuwa carriers.
Mimi hapa ni mrefu baba naama wafupi ila babu alikuwa super tool, nimerithi kwa babu.
Hata akili ni hivyo hivyo? Wewe una akil sana ukioa kilaza usitegemee kutoa akili kubwa
Dunia nzima geneus hawawagi wengi na kuna saba zingine zaidi ya urithi mfano damage of brain.
Nenda mgogo hamaa mmoja "photographic memory man "huyo jamaa ni kama crazy yupo uingereza jamaa akiuona mji unauchora wote kama ulivyo ila ni ana tatizo la akili.Kwa hio hata geneus anaweza kuwa na tatizo la akili.
 
LIFE IS SPIRITUAL
 
Kwa hiyo mazingira, lishe na hiyo jenetiki vyote kwa pamoja?

Sasa tatizo la Afrika ni nini?
Tatizo la Africa ni la kisaikolojia, inferiority complex
Kumbuka Africa wapo hata warabu, wahindi ila hawagundui chochote sawa na sisi weusi, ina maana tuna tatizo la kisaikolojia kuamini mzungu ndio mwenye akili.
Wachina wenyewe walikuwa na tatizo kama letu ila wamepona kutokana maamuzi magumu ya viongozi wao. Hata sisi zikiwekwa sheria kali tutapona na tutatumia akili.
Haiwezekani mwanafunzi afailu A zote halafuu asiwe na akili. Shida ni jinsi yakutumia hio akili na alivyofunzwa.
Yaani una amini wachina wote au warabu wote wanatuzidi sisi akili ? Mie nimesoma na warabu wa Tanzania hawajawahi kunipita wala hawakuwepo hata 10 bora ya darasa, labda kama warabu hawa ni tofauti na wale wa Qatar.
 
Una point, ndio maana utakuta Waarabu ukoo mzima wajinga watupu kwa sababu ya kuowana wenyewe kwa wenyewe.
Pumbavu, kuna wajinga kama waafrika dunia hii? Wote mnaimba kiarabu toka asb hadi mnalala mapunguani.
 
KUNA KITU KINAITWA ENVIRONMENT INFLUENCE OF GENE EXPRESSION
Uko sahihi. Nyongeza, inteligence ya mtu inakuwa revealed zaidi anapokwenda shule. Kama sijakosea kwa maana yako Inteligence ni gene oriented, na shule ndo environment.
 
Ishukuriwe chat GPT!!
 
Uko sahihi,nimeona mifano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…