Duh!unasound kama una sonona (depression). kamcheki mwanasaikolojia mkuu. sonona inaweza kukuharibia kazi na hata kusababisha kujiua.
Homoni zote zina madhara.Ukienda watachukua damu, wanapima zote[/QUOTE]Jiamini ="Otorong'ong'o, post: 20083445, member: 51902"]Hormone gani sasa..?
hatari sana mkuu. ni inaanza ghafla tu. wengine huwaanza kipindi cha ujauzito.Duh!
Mola amsaidie mja wakehatari sana mkuu. ni inaanza ghafla tu. wengine huwaanza kipindi cha ujauzito.
Shukraan mkuu kwa ushauriSonona hio.
Fanya yafuatayo
Zima hio smartphones
Lala mno, wahi kulala tena kwenye giza nene...lala mpk masaa 12
Jaribu kuishi na watu vizuri sikiliza story zao.
Toa msaada kwa kila kitu.
Jifunze kupenda watu na uwe na smile face hata kama ni fake.
Usijilinganishe na wengine, focus kwenye mipango yako.
Kuwa katili mara chache, na huruma sana.
Jingine jichunguze kwenye imani yako na attitude yako
step ya kwanza ya tiba ni kujua ugonjwa. hivyo anza kupekenyua internert kuhusu depression, wikipedia, journals na websites za afya.Nimekuelewa mkuu shukraan
Nenda regency, kama una bima inatumika.Ila hata kwa cash sio gharama sana[/QUOTE]Nenda E="princess ariana, post: 20083814, member: 381793"]wapi wanapima na Tsh ngapi
Fanyeni meditation wapendwa,fanyeni vitu vya kuwafurahisha,msiruhusu upweke,ikiwezekana kitu cha arusha pia kinasaidia.[emoji26]pole sana
una mfadhaiko!
Hata mimi ninao pia ila ni wa wasiwasi & woga tangu mwezi wa 10mwaka jana
lazima ukose amani...
unaweza kutamani kufa.
cha msingi ni kujua nini kinasababisha halafu utapata solution
Ila inaelekea huna kampani ya marafiki,ukiwa na marafiki wachangamfu pia inasaidia,alafu epuka overthinking,usishuhulishe ubongo wako kuyafikiria mambo ya huzuni au matukio ya zamani yasiyo na tija,pia tafuta mwenza kama huna.kuhusu cha arusha usitumie kama kichwa chako chepesi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sawa mkuuu
Sawa mkuuu shukraan nimekuelewaIla inaelekea huna kampani ya marafiki,ukiwa na marafiki wachangamfu pia inasaidia,alafu epuka overthinking,usishuhulishe ubongo wako kuyafikiria mambo ya huzuni au matukio ya zamani yasiyo na tija,pia tafuta mwenza kama huna.kuhusu cha arusha usitumie kama kichwa chako chepesi.
Nasukur kWa ushauri mkuuMi nadhani tatizo la kwanza ni mshahara kua kiduchu ukilinganisha na mahitaji yako pamoja na wategemezi wako, pili una msongo wa mawazo inaobekana unawaza vitu ambavyo utatuzi wake unategemea watu wengine...cha msingi tumia muda mwingi kukaa ba watu unaoamini wanaweza kuwa na msaada kwako, lakini pia usiwe unajiona mnyonge na mdhaifu ukijilinganisha na wengine